Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mama alikuwa sehemu ya mfumo hivyo anachofanya sasa ni kuuma na kupuliza ili kutengeneza reputation yake vizuri ila kwa wenye maono huyu Mama ni wale wale.
 
Reactions: BAK
unawashwa wapi vilee...
mambo za CDM hazikuhusu we pambana na huko lumumba na MEKO mliekuwa mnamtegemea ndio harudi kabisaaa na mama kesha sema anasafisha taka zote za MEKO wenu ili mambo yawe muruaaa. ...mae
pamoja na hayo yoooote usitarajie kuja kuona hilo chama lenu la kihuni linagusa ikulu pale ni mahala patakatifu mwizi kama mbowe hawezi kuingia pale ndiyo maana panatafutwa sehemu yakukutana na nyie wapinzani uchwara siyo ikulu mtapatia nuksi tu
 
Hao waliohusika kuwabambikia kesi mbona kapiga kimya? Wametumia nyadhifa zao vibaya kubambikia watu kesi. Kwanini waendelee kuajiriwa na Serikali? Kwanini hawafunguliwi mashtaka?
Kwanza umeelewa nilichokiandika ?

Unao ushahidi kwamba wamebambikiwa kesi ?
 
sasa kama unampangia mama siufanye huo mkutano wako?unapiga kelele nyuma ya keyboard tu chizi kweli wewe
 

Haya gombea wewe tukuchague[emoji16][emoji16]
 
Katiba Mpya ni Muhimu Sana maana awamu ya 5 imefundisha umuhimu wa kuwa na katiba mpya.

-Separation of power ni muhimu sana kwenye katiba mpya.
-yyeo vya hisani viondolewe kwenye katiba Mpya.
 
Sawa sawa kabisa Mkuu. Polisi na wanasheria wa Serikali walioshiriki kwenye uhuni huu wa kubambikia kesi ni wengi sana, kwa maoni yangu wahusika wote wanastahili kufukuzwa kazi na kufunguliwa mashtaka, lakini mama anajua athari zake. Hivyo ndiyo kaamua kuuma na kupuliza ili kubalance mambo.
Mama alikuwa sehemu ya mfumo hivyo anachofanya sasa ni kuuma na kupuliza ili kutengeneza reputation yake vizuri ila kwa wenye maono huyu Mama ni wale wale.
 
We jamaa wa ajabu kweli. Uliwai kumsikia mbowe akidai hizo mi 300! Unafahamu hayo yote yametokea kutokana na ubovu wa katiba? Na isitoshe suala la katiba mpya si la mbowe pekee.
 
MATAGA bana, mama akiruhusu mikutano yatakuja tena hapa kushangilia
 
[emoji3][emoji3]hivi unawajua wapinzani vizuri lakini!hawajawahi kua na jema,walimdhika JK na kawaita kufanya nao mazungumzo ikulu wakamwita dhaifu.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Akili yako ndiyo ilipoishia hapo, wapi nilipoandika kwamba nataka kugombea!? [emoji15][emoji15][emoji15]

Sasa wote si wabaya labda wewe utakua mzuri au[emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha ujinga rudi shule kajifunze elimu ya uraia badala ya kuja kuandika upuuzi wako.
Sasa wote si wabaya labda wewe utakua mzuri au[emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni kumchokoza Mama. Jana pia alisema tuangalie maneno. Tusimpe amri ya kutenda jambo. Tukumbuke Amazon amri akizitoa tu aaaaa. Wee kwisha
 
Na huu ndo unafiki ambao miaka yote unalitafuna hili taifa watu wanapenda kuona fisadi kwenda kuhojiwa kwenye kamati ya maadili ya chama badala ya kupelekwa mahakamani.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…