Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Hapa ndipo wapinzani wa tz wanapofeli....... Wanatazama zaidi mambo yao binafsi badala masilahi ya wananchi. Bi mkubwa amejaribu kujishusha na kulegeza baadhi ya mambo ili siasa iwe rafiki, wao wanaanza sasa kumtest moto wake.

Kiboko yao amefariki bahati mbaya, angekuwapo adabu mlishika hapa hakuna kuongea chochote, ukipost tu maneno ya lawama ana wewe.....

Sasa mnataka bi mkubwa ajutie kuwasiliza na awaletee akina sabaya tena kama kikosi kazi cha kulinda chama......
 
Actually ni huruma. Angeweza kupiga kimya na wakaendelea kukaa ndani. Kwan hao masheikh waliingia ndani awamu gani wadhani, si kipindi cha mkwere ila si aliamua kutokudeal na vitu visivyo mhusu.....

So bi mkubwa kweli kafanya huruma na fair.....
 
Huruma ambayo hakuwa nayo akiwa VP! Hiyo huruma yake mbona haijawagusa wafungwa kwa maelfu ambao wameshahukumiwa na wapo lupango kwa kesi FAKE za kubambikiwa?
Actually ni huruma. Angeweza kupiga kimya na wakaendelea kukaa ndani. Kwan hao masheikh waliingia ndani awamu gani wadhani, si kipindi cha mkwere ila si aliamua kutokudeal na vitu visivyo mhusu.....

So bi mkubwa kweli kafanya huruma na fair.....
 
Hakuna kufanya nchi theatre ya porojo kuendesha hutuba za kisanii zisizokua na tija kugawa watu wakati shida kubwa ni kufanya maendeleo.
Siasa za kizandiki mbowe ni hodari sana. Kuna clip moja ameandaa kisanii kwelikweli kimaigizo anakejeli na kutukana magufuli mwanzo hadi mwisho eti magufuli dikteta na muuaji. Sijui nani anawashauri kama sio yule mshauri wao shoga mzungu maana haisadii kitu. Wananchi wanajua magufuli alikua nani kwa nchi yao.
 
Tulitambua tu ngoma ya watoto huwa haikeshi!

Siku za kwanza-kwanza alinoga kweli hali iliyopelekea kupambwa kwa nyimbo na mapambio.

Tulimuonya hapa kwamba hao watoto si riziki! Usiwape nafasi ya kukupamba kwa mafuta ya kondoo maana kwalo huwa wanalo jambo.Hakutusikia.

Sasa wamemchenjia na wanadai kaanza kuvimba mapema kuliko walivyomtarajia hahahahaha!

Dakika ndiyo kwaaaanza ni ya 11 kwa hakika yangu macho.

Mytake; Mother anaupiga mwingi sana 😆
 
walikuwa Wanaelekeza nguvu kupigana na mtu mmoja, bila ya kujua system ya CCM ndiyo ilibidi waelekeze nguvu! Huu upinzani kweli wameshikwa pabaya. Tumewaambia huyu Samia alikuwa na JPM system ni ileile- status quo
 
Wewe hukumkosoa ulimshawishi hata pale alipopinga sayansi at watu wasivae Barakoa na kuwananga makamanda ati korona ipo au haipo
Hapa nilikuwa namtongoza mkeo?????!!!!! Such a dullard.

 
Naona umeamua kuwakaanga vijana wa Mbowe kwenye mafuta ya kukaangia samaki. Tena wakiwa uchi

Tatizo la CHADEMA huwa wanajisahau sana. Niliacha kufuatilia habari za CHADEMA tokea wasusie uchaguzi serikali ya mtaa 2019 na kuwaambia wenzao wasigombee. Ila kwenye ubunge 2020 hawakususia ulaji wao.

Ki ukweli viongozi waliwavunja moyo wanachama na hasa mashabiki wao. Huku kwetu Butiama wangeweza kushinda mitaa yote ila ndio hivyo tena.
 
Tuliambiwa kwamba "niacheni niijenge nchi kiuchimi alaf hayo mengine yatafuata" mmejifanya kujikiukisha wenyewe
 
Mapungufu ya Mama Samia, hayawezi kulinganishwa na unnyama wa Maguful. Bado Nina Imani kubwa na Mama.
 
Jitombashisho ni mataga buku 7, hajali kuhusu system
walikuwa Wanaelekeza nguvu kupigana na mtu mmoja, bila ya kujua system ya CCM ndiyo ilibidi waelekeze nguvu! Huu upinzani kweli wameshikwa pabaya. Tumewaambia huyu Samia alikuwa na JPM system ni ileile- status quo
 
Hapa mama aache tu waongee kama ilivyo demokrasia kisha awapuuze tu[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…