Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.

20220312_114508.jpg
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
hilo likitu umeliandaa wewe au mzito kabwela,na ipo wapi taarifa rasmi ya chama
 
Siasa zinamauzauza sana. Nangoja Mnyika atuonyeshe barua ya mualiko maana alisema chama chake hakipewi taarifa kwa Tangazo la mtandaoni😂😂
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Duh....!
Kweli Magufuli hatarudi tena!!!!
 
Tatizo mlishazoea kuona mabango kama hayo Chadema ikikosa muwakilishi, sasa leo muwakilishi yupo lazima muanze kutetemeka, sijui mlidhani Chadema wangesusa milele?

Kupitia hiyo mikutano na makongamano ndio mtawakilisha mahitaji yenu, yasikilizwe na kufanyiwa kazi, kama mngeendelea kususa lini mngefikia malengo yenu?

Kama CCM wataambiwa mahitaji kwenye hiyo mikutano bado wakaendelea kuwa vichwa ngumu ndipo plan nyingine itatafutwa, punguzeni kulia kwa kila jambo, mihemko haina maana.
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Kwani c ndio vzr kama anajali tumbo lake? Kwanza atakua hawasumbui huko Lumumba kwenu.
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Tatizo wengi mmekuwa wajinga, hata hamwelewi nini kilicho muhimu kwenye siasa za ushindani.

Mbowe aliomba kukitana na Rais - amekutana naye
Mbatia alisema hatahudhuria kikao cha kuongelea haki za kisiasa mpaka Mbowe atoke jela - ametoka

Wajinga wa kudumu, wanashangaa kwa nini Mbowe ashiriki kikao cha "amani"!!
 
Achananao hao akina Kamanda ni pangu pakavu tia mchuzi huyo Kamanda anaishi kwa kutegemea migogoro sasa amegundua hana pakupata riziki chafu kama makomandoo wa Sjmba na Yanga walivyo futika
 
Na wanaoomba sana haya maridhiano ni wapinzani...wanataka kuridhiana kitu gani?

Upinzani wa nchi hii ni njaa kali.
 
Hakuna maridhiano mpaka sasa, kimsingi hapo kinachofanyika ni wote kupeleka mapendekezo yao kwenye hivyo vikao.

Issue kama Katiba Mpya, Tume Huru na mengine yatajadiliwa hapo.

Kama patakuwepo na makubaliano ndio utasema pamekuwepo na maridhiano, lakini kama pande zote zitashindwa kufikia muafaka, basi hapo hapatakuwepo na maridhiano.
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Sijui mleta maada ulitakaje? Wasizungumze wakati mazungumzo ndiyo yanaleta maelewano.Hata kule Ukraine na Urusi wanazungumza japo wanaendelea kupigana.

Hongera kwa Mhe Rais SSH kwa kukubali na kuwezesha mazungumzo.
 
Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana 😄😄😄😄 tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
 
Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana 😄😄😄😄 tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Hi nu great news

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Na wanaoomba sana haya maridhiano ni wapinzani...wanataka kuridhiana kitu gani?

Upinzani wa nchi hii ni njaa kali.
Ndugu kiwango cha uelewa wako kinatia shaka sana.
ETI kutaka nchi iendeshwe kwa haki na uhuru sawa kwa wote kwako ndio 'njaa kali'?
 
Mi nadhani mara ya mwisho chadema walikataa kushiriki mkutano ule ulifanyikia Dodoma kwasababu walisema Mbowe yupo ndani, sasa Mbowe yupo huru kwanini wakatae? Siku zote chadema walikuwa wanataka mazungumzo ya kisiasa kuweka misingi, sasa hivi nafasi imepatikana kwanini wakatae? Politics is about dialogue.

Mandela alifungwa miaka 26 lakin alipotoka alifanya mazungumzo na watesi wake hatimaye akawa rais.. wakati huo watu wengi sana wameishakufa kwenye maandamano na vita, vp aitwe nae ni msaliti? Nafikiri kuna wakati wa kila jambo. Huu ni muda wa maongezi, ikishindikana itatafutwa njia ingine
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Lipumba!!!

Bora aje ubwabwa
 
Kwani vijana wa ccm mnafaidika nini na uhasama wa kisiasa ulioko nchin? Kwanini nyie ndio mnaonekana kuumizwa na maridhiano yanayonukia nchini?
 
Back
Top Bottom