Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

Lkn Mbowe ameshakubali kwamba Katiba is off the table, kuhusu hiyo inayoitwa Tume huru CCM hawata compromise hata iweje, wakati huo huo muda unakwenda unachaguzi unakaribia, upinzani wanataka au wanategemea kupata nini ?
Amesema lini hiyo na wapi? Acha uongo na unafiki. Mungu kwenye amri yake ya 9 ( kati ya 10) amesema usimshuhudie jirani yako uongo
 
Lkn Mbowe ameshakubali kwamba Katiba is off the table, kuhusu hiyo inayoitwa Tume huru CCM hawata compromise hata iweje, wakati huo huo muda unakwenda unachaguzi unakaribia, upinzani wanataka au wanategemea kupata nini ?
Mna Mihemko sana ile aliyoisema Mbowe, lini alitoa kauli ya kukubali Katiba Mpya is off the table?

Punguzeni kuongozwa na hisia, tumieni akili na maarifa.
 
Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
MATAGA wanaandamwa na mzimu wa mwendazake
 
Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana 😄😄😄😄 tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
Acha kulinganisha ODM na CDM.
ODM Iko moto kama pasi,pamoja na handshake ODM haijawahi kuwa chini kama CDM kilivyoisha.
CDM sasa ni branch ya CCM,karibu I tule keki ya Taifa,njaa mbaya🤣🤣
 
Na wanaoomba sana haya maridhiano ni wapinzani...wanataka kuridhiana kitu gani?

Upinzani wa nchi hii ni njaa kali.

Mbona naona na CCM nao wanamwakilishi?. Halafu ulitaka upinzani wafanyeje. Waandae kikosi Cha msituni?.
 
Acha kulinganisha ODM na CDM.
ODM Iko moto kama pasi,pamoja na handshake ODM haijawahi kuwa chini kama CDM kilivyoisha.
CDM sasa ni branch ya CCM,karibu I tule keki ya Taifa,njaa mbaya🤣🤣

Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743

Unamwita Mbowe mchumia tumbo kisa Hilo bango?. Saa zingine tuwe na haya mioyoni mwetu. Unatoa hitimisho kwa kuangalia jambo linalohusu Vyama vyote vya siasa.

Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA, chama ambacho ni mwanachama wa TCD ambaye uongozi wake huzunguka kwa kila chama cha siasa kilichosajiliwa Tanzania na kwa Sasa mwenyekiti ni Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo.

Kesho Lissu au Mbowe anaweza kuja kuwa mwenyekiti wa TCD, Kama itakuwa zamu ya CHADEMA.
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
  • "Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi".
  • Ameona "Bora ajisalimishe kwa wana-CCM na kuwa nao ili alinde biashara zake".
  • "Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku".

Nukuru hizo si sahihi kumvisha Mbowe; au kwa maslahi ya nchi kwa ujumla. Kuwa mpinzani haina maana lazima upinge kila kitu kisemwacho na Serikali. Umeitishwa "Mkutano wa Maridhiano". Maana yake ni kwamba tuzungumze kitu gani kifanyike kwa manufaa ya nchi. Kukataa kuhudhuria mkutano kama huo hakukufanyi uwe ndiye mpinzani halisi. Hudhuria mkutano; toa hoja zako; na ushinde maazimio ya mkutano kwa hoja zako. Huo ndio upinzani halisi. Kwa mfano CHADEMA wamekuwa wakipigania Katiba Mpya. Mkutano kama huu ndipo pa kutolea hoja zao; na kama mkutano utaisha kwa kuazimia hivyo, hilo litashinikiza Serikali kulitekeleza na itakuwa hongera kwa upinzani kuliwezesha hilo. Siyo kukataza watu kuhudhuria mkutano na badala yake kuchochea maandamano. Huo ni uhuni au ugaidi ambao haukubaliwi chini ya demokrasia. Ni pale tu majadiliano yakishindikana na hakuna uwanja mwingine wa kutolea maoni yenu ndipo mnaweza kufikiria njia mbadala ya kufikisha mawazo yenu kwa wananchi.
 
Acha kulinganisha ODM na CDM.
ODM Iko moto kama pasi,pamoja na handshake ODM haijawahi kuwa chini kama CDM kilivyoisha.
CDM sasa ni branch ya CCM,karibu I tule keki ya Taifa,njaa mbaya🤣🤣
[/QUOTE]

Unaongea huku ukijichekesha ukijua unachosema sio ukweli. Unasema CDM Ni tawi la CCM ambalo kiongozi wake alishtakiwa kwa kutaka kudhuru Viongozi wa serikali na kutenda makosa ya kigaidi.

Tuache unafiki, wakati Mbowe hajaachiliwa mlikuwa mnamuita Gaidi, leo katoka mnamuita mchumia tumbo. Angekutwa na hatia usingemuita mchumia ungemuita Gaidi. Tena mngemdhalilisha vya kutosha bila aibu.
 
Hahahahahah

Siasa za Tanzania zinamtesa zaid yule anaezichukulia serious

Lissu alisema wao wakae meza moja na kina Lipumba na Dovutwa wakati wao ni chama kikuu cha Upinzani?
Siasa zinamauzauza sana. Nangoja Mnyika atuonyeshe barua ya mualiko maana alisema chama chake hakipewi taarifa kwa Tangazo la mtandaoni[emoji23][emoji23]
 
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.

Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Sidhani kama upo sahihi... You need to join them to win them.
Working from within.
Ni muhimu sana.
Sijuhi wewe ulitakaje sasa??
 
Acha kulinganisha ODM na CDM.
ODM Iko moto kama pasi,pamoja na handshake ODM haijawahi kuwa chini kama CDM kilivyoisha.
CDM sasa ni branch ya CCM,karibu I tule keki ya Taifa,njaa mbaya🤣🤣

Acha uongo. Mbona hiyo ODM imeungana na serikali ya Jubilee na Sasa hivi wana umoja au coaliation yao inaitwa AZIMIO la Umoja. Ambapo kwenye uchaguzi mkuu Rais atatoka ODM na Makamu wa Rais atatoka Jubilee. Sasa unaongea Nini?. Ni lini CDM imeungana na serikali?. Au CCM?. Kukutana na Rais Ikulu haina maana mmeungana.

CHADEMA imepitia madhira mengi mpaka kufikia kiongozi wao mmoja kupotezwa mpaka leo hajulikani alipo, na kiongozi wao mwingine kupigwa risasi na mwingine kushitakiwa kwa ugaidi tena kuua Viongozi wa serikali. Unapoongea kitu jiridhishe kwanza.
 
Hahahahahah

Siasa za Tanzania zinamtesa zaid yule anaezichukulia serious

Lissu alisema wao wakae meza moja na kina Lipumba na Dovutwa wakati wao ni chama kikuu cha Upinzani?

Kwani kile kikao Cha kwanza walienda? Siasa zinakupasua wewe kada wa CCM maana huamini Kama Mbowe ametoka na Sasa yupo huru. Mmeenda kutengeneza bango ili tu kujiridhisha nafsi zenu.
 
Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana 😄😄😄😄 tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
Baada ya kuona Wazungu wamewasusa 🤣🤣🤣 chadema bwana, Sasa mnakwenda kulidhiana nini?ili Mama yenu atawale pasipo pressure 🤣🤣
 
Mwanasiasa wa upinzani kufungwa ni jambo la kawaida sana Africa labda kama Wewe si mfuatiliaji wa hizo siasa zaid ya zile za Chadema tu
Kwani kile kikao Cha kwanza walienda? Siasa zinakupasua wewe kada wa CCM maana huamini Kama Mbowe ametoka na Sasa yupo huru. Mmeenda kutengeneza bango ili tu kujiridhisha nafsi zenu.
 
Acha uongo. Mbona hiyo ODM imeungana na serikali ya Jubilee na Sasa hivi wana umoja au coaliation yao inaitwa AZIMIO la Umoja. Ambapo kwenye uchaguzi mkuu Rais atatoka ODM na Makamu wa Rais atatoka Jubilee. Sasa unaongea Nini?. Ni lini CDM imeungana na serikali?. Au CCM?. Kukutana na Rais Ikulu haina maana mmeungana.

CHADEMA imepitia madhira mengi mpaka kufikia kiongozi wao mmoja kupotezwa mpaka leo hajulikani alipo, na kiongozi wao mwingine kupigwa risasi na mwingine kushitakiwa kwa ugaidi tena kuua Viongozi wa serikali. Unapoongea kitu jiridhishe kwanza.
Kwa hiyo na nyie mnataka coalition?
Odinga alikuwa threat,alikuwa na nyomi la watu,anaitwa Baba sababu nondo alonazo si mchezo.
Unajua Odinga alikaa ndani miaka mingapi?hakuwahi taka kuonewa huruma.
Nenda Kenya uliza Odinga ni nani,na Yale alifanya Kenya utajua unaongelea watu wawili tofauti.
 
Back
Top Bottom