Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
hilo likitu umeliandaa wewe au mzito kabwela,na ipo wapi taarifa rasmi ya chamaAmepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Duh....!Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Kwani c ndio vzr kama anajali tumbo lake? Kwanza atakua hawasumbui huko Lumumba kwenu.Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Tatizo wengi mmekuwa wajinga, hata hamwelewi nini kilicho muhimu kwenye siasa za ushindani.Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Achananao hao akina Kamanda ni pangu pakavu tia mchuzi huyo Kamanda anaishi kwa kutegemea migogoro sasa amegundua hana pakupata riziki chafu kama makomandoo wa Sjmba na Yanga walivyo futikaTatizo wengi mmekuwa wajinga, hata hamwelewi nini kilicho muhimu kwenye siasa za ushindani.
Mbowe aliomba kukitana na Rais - amekutana naye
Mbatia alisema hatahudhuria kikao cha kuongelea haki za kisiasa mpaka Mbowe atoke jela - ametoka
Wajinga wa kudumu, wanashangaa kwa nini Mbowe ashiriki kikao cha "amani"!!
Sijui mleta maada ulitakaje? Wasizungumze wakati mazungumzo ndiyo yanaleta maelewano.Hata kule Ukraine na Urusi wanazungumza japo wanaendelea kupigana.Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Hi nu great newsAmepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Ndugu kiwango cha uelewa wako kinatia shaka sana.Na wanaoomba sana haya maridhiano ni wapinzani...wanataka kuridhiana kitu gani?
Upinzani wa nchi hii ni njaa kali.
Lipumba!!!Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Kwani vijana wa ccm mnafaidika nini na uhasama wa kisiasa ulioko nchin? Kwanini nyie ndio mnaonekana kuumizwa na maridhiano yanayonukia nchini?Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743