Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Amesema lini hiyo na wapi? Acha uongo na unafiki. Mungu kwenye amri yake ya 9 ( kati ya 10) amesema usimshuhudie jirani yako uongoLkn Mbowe ameshakubali kwamba Katiba is off the table, kuhusu hiyo inayoitwa Tume huru CCM hawata compromise hata iweje, wakati huo huo muda unakwenda unachaguzi unakaribia, upinzani wanataka au wanategemea kupata nini ?
Mna Mihemko sana ile aliyoisema Mbowe, lini alitoa kauli ya kukubali Katiba Mpya is off the table?Lkn Mbowe ameshakubali kwamba Katiba is off the table, kuhusu hiyo inayoitwa Tume huru CCM hawata compromise hata iweje, wakati huo huo muda unakwenda unachaguzi unakaribia, upinzani wanataka au wanategemea kupata nini ?
MATAGA wanaandamwa na mzimu wa mwendazakeWalichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
Acha kulinganisha ODM na CDM.Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana 😄😄😄😄 tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
Huna akili.Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Na wanaoomba sana haya maridhiano ni wapinzani...wanataka kuridhiana kitu gani?
Upinzani wa nchi hii ni njaa kali.
........vu!!!!Lipumba!!!
Bora aje ubwabwa
Acha kulinganisha ODM na CDM.
ODM Iko moto kama pasi,pamoja na handshake ODM haijawahi kuwa chini kama CDM kilivyoisha.
CDM sasa ni branch ya CCM,karibu I tule keki ya Taifa,njaa mbaya🤣🤣
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Siasa zinamauzauza sana. Nangoja Mnyika atuonyeshe barua ya mualiko maana alisema chama chake hakipewi taarifa kwa Tangazo la mtandaoni[emoji23][emoji23]
Sidhani kama upo sahihi... You need to join them to win them.Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake.
Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo yake kila siku.View attachment 2147743
Acha kulinganisha ODM na CDM.
ODM Iko moto kama pasi,pamoja na handshake ODM haijawahi kuwa chini kama CDM kilivyoisha.
CDM sasa ni branch ya CCM,karibu I tule keki ya Taifa,njaa mbaya🤣🤣
Hahahahahah
Siasa za Tanzania zinamtesa zaid yule anaezichukulia serious
Lissu alisema wao wakae meza moja na kina Lipumba na Dovutwa wakati wao ni chama kikuu cha Upinzani?
Baada ya kuona Wazungu wamewasusa 🤣🤣🤣 chadema bwana, Sasa mnakwenda kulidhiana nini?ili Mama yenu atawale pasipo pressure 🤣🤣Walichokifanya Mbowe na Samia nakifananisha na cha Uhuru na Odinga HAND SHAKE ilikuwa ni nadra kenya kupita uchaguzi bila kubondana 😄😄😄😄 tunahitaji maridhiano zaidi kuliko ubabe Nyuki wa mama wapo tayari ila MATAGA. Bado Wana sera za ibilisi wamesusa
Kwani kile kikao Cha kwanza walienda? Siasa zinakupasua wewe kada wa CCM maana huamini Kama Mbowe ametoka na Sasa yupo huru. Mmeenda kutengeneza bango ili tu kujiridhisha nafsi zenu.
Kwa hiyo na nyie mnataka coalition?Acha uongo. Mbona hiyo ODM imeungana na serikali ya Jubilee na Sasa hivi wana umoja au coaliation yao inaitwa AZIMIO la Umoja. Ambapo kwenye uchaguzi mkuu Rais atatoka ODM na Makamu wa Rais atatoka Jubilee. Sasa unaongea Nini?. Ni lini CDM imeungana na serikali?. Au CCM?. Kukutana na Rais Ikulu haina maana mmeungana.
CHADEMA imepitia madhira mengi mpaka kufikia kiongozi wao mmoja kupotezwa mpaka leo hajulikani alipo, na kiongozi wao mwingine kupigwa risasi na mwingine kushitakiwa kwa ugaidi tena kuua Viongozi wa serikali. Unapoongea kitu jiridhishe kwanza.