Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Je hiyo taarifa ya chama (CHADEMA) kupokea ruzuku ni ya kweli ?Wewe unaweza kumsamehe mtu aliyekukosea na akakataa kukiri kosa na kukuomba msamaha? Msamaha kwa COVID-19 upo wazi, waombe msamaha na waachie nafasi za ubunge wa viti maalumu walizozipata kwa njia ya udanganyifu. Huwezi kuiba halafu usamehewe kabla hujarudisha ulichokiiba na kuomba msamaha!
Taifa lina hasara sana. Kama mpaka leo hujui ruzuku inakokotolewaje then kua shida mahaliJe hiyo taarifa ya chama (CHADEMA) kupokea ruzuku ni ya kweli ?
Kama ni kweli wanaipokea kwa vigezo gani.
Lema madhambi yake aliyosamehewa na mama Tena juu ya gari wala sio mahakamani unayajua,na mbona iliwezekana na yupo tu mtaani anatukana watu tena anaotegemea wampigie kura uchaguzi ujao?Wewe unaweza kumsamehe mtu aliyekukosea na akakataa kukiri kosa na kukuomba msamaha? Msamaha kwa COVID-19 upo wazi, waombe msamaha na waachie nafasi za ubunge wa viti maalumu walizozipata kwa njia ya udanganyifu. Huwezi kuiba halafu usamehewe kabla hujarudisha ulichokiiba na kuomba msamaha!
Chadema walisema hawawezi kuchukua ruzuku inayotokana na uchaguzi feki. Sasa lini uchaguzi ule umegeuka sawasawa ili waichukue hiyo ruzuku?ruzuku ni haki yao kikatiba, kuikubali na kuikataa ilikuwa hiari yao
Hatujakataa uchaguzi haramu haujaisha mana tangu 2020 hatujafanya uchaguzi tena ila tunaye raisi anayemalizia huo uchaguzi haramu wanaousema CHADEMA. Je, kipi kimewafanya kupokea hela inayotokana na uchaguzi haramu?ruzuku ni haki yao kikatiba, kuikubali na kuikataa ilikuwa hiari yao
Hizo tu?Idadi ya kura alizopata Lissu ni 2M
Mbona amewasamehe ccm?Wewe unaweza kumsamehe mtu aliyekukosea na akakataa kukiri kosa na kukuomba msamaha? Msamaha kwa COVID-19 upo wazi, waombe msamaha na waachie nafasi za ubunge wa viti maalumu walizozipata kwa njia ya udanganyifu. Huwezi kuiba halafu usamehewe kabla hujarudisha ulichokiiba na kuomba msamaha!
Mbowe alimvua kiongozi Gani wa CCM uanachama?Mbona amewasamehe ccm?
Kwa Chadema kukubali ruzuku zinazotokana na uchaguzi haramu kuna hata mwana ccm aliyekiri tu kuwa kweli ule uchaguzi ulikuwa haramu? Hao hao ccm ndio waliyoshirikiana na hao covid 19 na hadi sasa bado Samia anawakinga hao covid 19.Wewe unaweza kumsamehe mtu aliyekukosea na akakataa kukiri kosa na kukuomba msamaha? Msamaha kwa COVID-19 upo wazi, waombe msamaha na waachie nafasi za ubunge wa viti maalumu walizozipata kwa njia ya udanganyifu. Huwezi kuiba halafu usamehewe kabla hujarudisha ulichokiiba na kuomba msamaha!
Ruzuku ya uchaguzi haramu? Hivi huo utoto wa kujifanya wanakataa matokeo ya uchaguzi watauacha lini?ruzuku ni haki yao kikatiba, kuikubali na kuikataa ilikuwa hiari yao
Imagine jamaa hajui hata ruzuku inalipwa kwa utaratibu upi halafu anakuja na thread ya propaganda. Halafu utakuta ni Graduate huyo ..... No wonder Waziri anataka kuwapeleka VETA ....!!Ama kweli kama taifa tumepotea. Ni aibu kwamba kuna watu hata hawajui ruzuku ya vyama vya siasa inatokana na nini.
Hoja yako ya COVID-19 kama ingesemwa na kiongozi wa CCM ingetosha kuwa uthibitisho kwamba hao wabunge wamewekwa na CCM. N8 hoja mfu, ya hovyo, isiyokuwa na mashiko, inayoashiria uvivu wa kufikiri.
Baada ya kupora uchaguz.Idadi ya kura alizopata Lissu ni 2M