Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
maridhiano ndio yamefanya pesa haramu ipokelewe.Hatujakataa uchaguzi halamu haujaisha mana tangu 2020 hatujafanya uchaguzi tena ila tunaye raisi anayemalizia huo uchaguzi halam wanaousema CHADEMA,Je kipi kimewafanya kupokea hela inayotokana na uchaguzi halamu?
maridhiano ndio yamefanya pesa ipokelewe na itaendelea kupokelewa kama tunavyomtambua Samia kuwa ni Rais pia ni kupitia maridhiano, sukuma gang itakuwa ngumu kuelewa.Chadema walisema hawawezi kuchukua ruzuku inayotokana na uchaguzi feki. Sasa lini uchaguzi ule umegeuka sawasawa ili waichukue hiyo ruzuku?
Au maridhiano yanalenga kuhalalisha haramu?
hatuwataki hata wakikili waende kwa majiz ya kura au cuf iliyochangamka(Act).Wakili makosa na waombe msamaha
Sema tamaa na njaa ndo imefanya pesa kupokelewa,Basi wakumbushe kujenga na ofc ile ya Ufipa ishakuwa sclaper.maridhiano ndio yamefanya pesa haramu ipokelewe.
kwamba wewe unafahamu kuhusu njaa za wanachadema kuliko chadema wenyewe are you mentally fit or imbecile. Ofis wewe inakuhusu nin, nyie sukuma gang lini mmejenga ofis mbali na kuuwa watu tuambie ofis ya sukuma gang mahala ilipo.Sema tamaa na njaa ndo imefanya pesa kupokelewa,Basi wakumbushe kujenga na ofc ile ya Ufipa ishakuwa sclaper.
Sasa unachobisha nini si wamepokea 800+ alafu wanakuja kwenye Kongamano la BAWACHA wanasema hawajapokea, ni njaa mzee inaleta shida kwenye chama chako,ww kama haujapewa ni ujinga wako na unabwatuka humu bure.kwamba wewe unafahamu kuhusu njaa za wanachadema kuliko chadema wenyewe are you mentally fit or imbecile. Ofis wewe inakuhusu nin, nyie sukuma gang lini mmejenga ofis mbali na kuuwa watu tuambie ofis ya sukuma gang mahala ilipo.
Mwendazake alitutengenezea watu wa ajabu sana. Alaaniwe aliko na asitokee tena mtu namna ile.Sasa unachobisha nini si wamepokea 800+ alafu wanakuja kwenye Kongamano la BAWACHA wanasema hawajapokea, ni njaa mzee inaleta shida kwenye chama chako,ww kama haujapewa ni ujinga wako na unabwatuka humu bure.
Ofsi za ccm zinajengwa na chama mzee sio sukuma gang,msoga gang au sjui maridhiano kamp, zipo nyingi tu kila mahali....Dar ipo Lumumba pale nenda kashangae ghorafa pale alafu ukalinganishe na mghahawa wenu pale ufipa kinondoni.
Ni wapi kwenye Mkutano wa BAWACHA walisema hawajapokea ruzuku?Sasa unachobisha nini si wamepokea 800+ alafu wanakuja kwenye Kongamano la BAWACHA wanasema hawajapokea, ni njaa mzee inaleta shida kwenye chama chako,ww kama haujapewa ni ujinga wako na unabwatuka humu bure.
Ofsi za ccm zinajengwa na chama mzee sio sukuma gang,msoga gang au sjui maridhiano kamp, zipo nyingi tu kila mahali....Dar ipo Lumumba pale nenda kashangae ghorafa pale alafu ukalinganishe na mghahawa wenu pale ufipa kinondoni.
Tu ela kidogo tu wivu umewakaaSema tamaa na njaa ndo imefanya pesa kupokelewa,Basi wakumbushe kujenga na ofc ile ya Ufipa ishakuwa sclaper.
Hilo popoma litajua nini mkuu, hata kulijibu tu umelipa hadhi lisiyostahiliNi wapi kwenye Mkutano wa BAWACHA walisema hawajapokea ruzuku?
Jikite kwenye hojaHilo popoma litajua nini mkuu, hata kulijibu tu umelipa hadhi lisiyostahili
Hata mbunge Sanga amemkaanga janaSiasa ndivyo zilivyo, muda utaongea...