Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Hata wewe una uhuru wa kumsema vibaya Samia sio lazima Mbowe.Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Nenda ukamseme huyo Samia ww. Mbowe atamsema Magufuli.Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Wewe unayembebea hayo mabuyu si mwili wako utakiqa umesibwa na asali kiasi cha hata kushindwa kuona?Mbowe kwa sasa ananuka asali tu ya mama. Kalipwa madumu ya asali.
Hbr yako mlinda legacy! Unaweza msema hata ww Rais Samia. Kama alitamka washughulikie bungeni wakitoka uraiani nitawashughulikia. Hamtaki kbs kukubali ukwel kuhusu udhalim.Mbowe kwa sasa ananuka asali tu ya mama. Kalipwa madumu ya asali.
Kati ya viongoz walioishiwa na nafsi zinawasuta ktk kuongea ni huyu,mnafiki haijapata tokeaMasaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Kesi hii ya Ugaidi iliasisiwa na Magufuri ni bahati mbaya tu kifo kilimwahi.Na mipango hiyo aliipanga mapema kama alivyopanga kuengua wajumbe wa Vyama vya upinzani kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019,Uchaguzi Mkuu 2020,Wabunge wa viti maalum feki 19 na mwishowe kesi ya ugaidi ya Mbowe ili kuifuta kamili.Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Sasa mbona kwenye ujenzi wa Ikulu na SGR mnasema hiyo ni kazi ya Magufuli peke yake na siyo Samia?Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Samia unamuingizaje kwenye UHAYAWANI wa Magufuli? Au hujui kuwa yeye mwenyewe mara 2 alishawahi kutaka kujiuzulu u-Makamu wa Rais kutokana na vitendo vya Magufuli?Masaibu yaliyoikumba Chadema na Viongozi wake; Jaribio la kumuua Lissu, Kumbambikia Mbowe issue ya ughaidi, kuwasweka wafuasi wa chadema jela na mengineyo yametokana CCM, Magufuli panoja na Samia.
Nashangaa, kwenye hotuba zake, Mbowe anajikita zaidi kwenye kumshambulia JPM badala ya kushugulika na aliyeitangazia dunia kwamba Mbowe ni ghaidi. Kulikoni, kwa nini Mbowe anamsitiri Rais Samia?
Mapipa ya asali. Kutwa kumsema vibaya hayati.Mbowe kwa sasa ananuka asali tu ya mama. Kalipwa madumu ya asali.
Hahahaha kumbe madumu ya asali yananuka? Ulijuaje mwenzetu kama hujawahi kuyalamba?Mbowe kwa sasa ananuka asali tu ya mama. Kalipwa madumu ya asali.