Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

1-Group-Chairman-and-CEO--Sultan-Ahmed-Bin-Sulayem2x.png

Karibu Sheikh karibu sana utuondolee huu uozo Bandarini unaagiza gari unakuta Redio imeibiwa au imenyofolewa nyofolewa. Karibu swahiba.
 
I second. CCM must go.

Huwa nawekaga angalizo..... nalo ni

Chagua kwa Uangalifu 2025

....hata hivyo mbadala wake ni hatari zaidi. The revolution must be within CCM itself.

CCM must go! ipate Akili.
NUGAI: Kuna siku nchi itapigwa mnada.
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
Voicer! Aondoke aende wapi! Wewe unajua nini kuhusu uwekezaji! Ni bora hizo hoja zako za kipumbafu peleka huko kwenye Vicoba!

Uendeshaji wa hiyo Bandari inahitaji maboresho na kwendana na huu wakati wala sio mihemko yako pimbi wewe!
 
Kama bandari Haina ufanisi ni jukumu la kiongozi kuhakikisha Efficiency inapatikana.

Nyoka akiingia ndani ya nyumba HATUUZI nyumba, HATUCHOMI nyumba, tunamtoa nyoka!!!!

Sa100 must go!!!
EXACTLY... Na kama wewe ni mpangaji tu wa hiyo nyumba, na huwezi kumtoa nyoka, mrudishie funguo mwenye nyumba amtoe mwenyewe AU atafute mpangaji mwingine atakayeweza kumtoa.
 
EXACTLY... Na kama wewe ni mpangaji tu wa hiyo nyumba, na huwezi kumtoa nyoka, mrudishie funguo mwenye nyumba amtoe mwenyewe AU atafute mpangaji mwingine atakayeweza kumtoa.
Ndo ushangae mpangaji atangaza kuuza nyumba isokuwa yake,

Hata sensa ya Juzi tuanze kuitizama Kwa makini, maana Si Kwa maswali Yale kwenye dodoso!!!

Kiukweli ATUPISHE,

Sa100 must go!!!!
 
Alivyosema watu wale kwa urefu wa kamba zao, nilibaki nahamaki hadi leo
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
Mna muono mfupi usiozidi umbali wa pua zenu.
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
Kama kuna wakati chadema inaweza kurejesha hadhi yake ni katika suala hili la kuuza Bandari.

Wakiishawishi jamii na hatimaye uuzaji ukasitishwa basi hata chaguzi zijazo watajizolea viti vingi sana.

Wasipotumia fursa hii basi hawatapata bahati nyingine.
Mbowe rudi haraka Tz ulianzishe

Tetesi zilizopo ni kwamba bunge linasikilizia upepo kwanza ili walalie upande fulani.
 
Back
Top Bottom