Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Wangekuwa na hiyo plan wangefanya wakati ule Jamaa yupo Mahabusu, lakini Kwasasa ni ngumu akiwa Uraiani.

Hata hivyo kama walishindwa kuwang'oa wenyeviti wa TLP/NCCR ndiyo iwe CDM. Huyo kuondoka hapo ni mpaka apende mwenyewe.
Anagongwa tu hata akiwa Uraiani sema je wapo wenye uthubutu huo?
 
Huna akili ,pamoja icho kigazeticha kufungia mandazi Mbowe hajijiweka pale ,kawekwa na vikao halali vya chama ataondoka siku wanachama wa chadema wataona umuhim huo
 
Huna akili ,pamoja icho kigazeticha kufungia mandazi Mbowe hajijiweka pale ,kawekwa na vikao halali vya chama ataondoka siku wanachama wa chadema wataona umuhim huo
Kikao gani halali kilichomuweka Mbowe hapo?

Huna akili
 
Kikao gani halali kilichomuweka Mbowe hapo?

Huna akili
Pumbavu kwani hujui ndani ya chama viongozi hupatika vipi ? Sasa kama mambo madogo tu yanakushinda nijadiliane na wewe kwa lipi, nchi imejaa wapumbavu sana mmoja ni wewe alafu ndo wakuta ni mwanaccm kindaki ndaki
 
Kabisaaa
 
Wala hakuna dalili za kitu kama hicho.
 
Mtalaka wa Slaa huchoki kueneza chuki.
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zito Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashutakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lisu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa Serikalini ,utendaji wa serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa
 
Kajenga uwanja wa ndege Chato nyumbani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…