Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Chawa wa uchafuzi ndio mnapanga kumng'oa au?
Huyu ni sukuma gang masalia ya mwisho mwisho yale yuko na vi ID vyake vingine viwili haamini kama Magufuli amekufa na udikteta wake na zama zao zimepita.

Usikute hata ujinga wa Magufuli kutokujikinga na UVIKO huku akijua yuko katika kundi hatarishi huyu mjinga atakwambia ni Lissu ndio alisababisha.
 
Huyu ni sukuma gang masalia ya mwisho mwisho yale yuko na vi ID vyake vingine viwili haamini kama Magufuli amekufa na udikteta wake na zama zao zimepita.
Uchaguzi wa serikali za mitaa vipi
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa vipi
Huo nao unaita ulikua uchaguzi?

Mimi msimamo wangu tangu siku wanazoandikisha niliwaambia humu Chadema wagomee huo ushenzi.

Nisome vizuri post zangu tangu mwanzo wa huu ushenzi uliopachikwa jina la uchaguzi wakati ni upotezaji wa muda na pesa za walipa kodi.
IMG_20241127_182854.jpg
 
Hivi kumbe magazeti Bado yapo Tanzania!!! Na Kuna watu Bado wanayasoma??!!! Na je Bado tuna wandishi credible wa magazeti Tanzania?🤔🤔
Hayo humkosi,Etweege,Mwashambwa,johnthebaptist na marafiki zao
 
Au ndiyo hiki kikao cha kamati kuu
 
Freeman mbowe bado anaushawishi mkubwa sana ndani ya chama sjui ni njia gan watatumia kimwondoa ila ni km ndoto za mchana tu
 
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.

Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Mti wenye matunda hurushiwa mawe.
 
Tukubaliane pia kuwa hakuna cha fomu moja ya ugombea Urais ndani ya CCM.
 
Kwa nini ruzuku ya chama inaingia kwenye akaunti ya benki binafsi ya Mbowe? Hili ni swali ambalo wanachama wanahitaji majibu yake," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City.

Lissu alidai kuwa matumizi ya ruzuku ya Chadema yamekosa uwazi, na akahoji ni kwa nini fedha za chama zinazotolewa na serikali hazipiti moja kwa moja kwenye akaunti rasmi ya chama. "Hatuwezi kuendelea kuendesha chama kwa utaratibu usiofuata taratibu za uwajibikaji na uwazi. Wanachama wanahitaji kufahamu kila senti ya ruzuku inatumikaje," aliongeza Lissu.

Alisisitiza kuwa moja ya sababu kubwa zinazomfanya agombee nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema ni kuhakikisha chama kinarejesha misingi ya demokrasia, uwazi, na uwajibikaji. "Hatuwezi kuwa chama kinachopigania uwazi na demokrasia nchini wakati ndani ya chama kuna mambo ya kificho," alisema Lissu, huku akiungwa mkono na baadhi ya wafuasi wake waliokuwa kwenye mkutano huo.
 
Hatimae muda wa kuondoka umefika
 
Hatimae muda umefika Dj anaondoka
 
Back
Top Bottom