Mbowe, mkanye Lissu

Sidhani kama JPM anausika na kupingwa Risasi lissu. Kama ni hivyo basi atuna askari au TISS wa kijinga hivyo. Au washafukuzwa kazi.
 
Pumbavuuu kabisa unachukuliwa ka Malaya kako unataka kulipiza kisasi ijekuwa kutiwa Ulemavu? Acha kuwa mjinga kiasi hiki.
 
Pumbavuuu kabisa unachukuliwa ka Malaya kako unataka kulipiza kisasi ijekuwa kutiwa Ulemavu? Acha kuwa mjinga kiasi hiki.
Eti nini? malaya imekujaje hapa? Sikuzuii kumfuata huyo Lissu na akili yake. Endelea ila ujue huyo ni mbwa kichaa, wewe unafuata mkia wake! Utachoka tu maana huo mkia sijui utatulia lini! Mi nina kichwa changu bhana, tena asiniambie kitu sijui risasi zilipita makalioni, so what? I was a kid and now I am a potential voter. Nilichokiona mbele yangu ni flyover, SGR, umeme, Bodi ya mikopo and the likes!
 
Kwani Lissu anawaumiza nini? Muendelee na ratiba zenu, naye muacheni ya post zake!

Naona baba amefariki hasira zinataka kuhamia kwa Lissu.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mbona umeandika kwa jazba sana tatizo ni nini? Nyie si mlisema huyo ndugu ni mzima wa afya, anatusalimia na anachapa kazi? Kwani sasa kuna nini?
hayo mengine hayanihusu
 
sijawahi kushabikia uonevu was aina yeyote, hata hayo unayoyasema tuliyakemea sema tulipuuzwa kama mnavotupuuza sasa
 
Kwani shetani akifa anakuwa malaika? Mwacheni lissu auseme uovu wa marehemu dikteta
 
Ushauri mzuri!
Tamaduni zetu ni kuheshimu maiti na wafiwa.
Alipaswa kutoa pole na kukaa kimya.
Nilishangaa zaidi alipoendelea kung'ang'ana kwenye vyombo vya nje kuwa corona ndio imemuondoa Magu na kwamba alifariki trh 09.
Sikuona mantiki yake.
Ni kweli aliumizwa lakini inabidi asamehe ama akae kimya.
Bado hajatufahamu watz vizuri?
Tayari ameshaharibu reputation yake.
Siasa inahitaji akili kubwa sana hasa kwa Tanzania.
Yaani Roma mkatoliki kamzidi saikolojia Lissu?
 
Kwenye yale mabox ya wizi au yapi?? Kuna siku JPM aliwaambia mawaziri wake wazi kuwa wengi wao hawakuwa na uwezo wa kushinda uchaguzi.
Lakini pia sifa kubwa ya watanzania ni ujinga uliokithiri, ukifuatilia kuanzia kwenye historia, kuna mambo mengi ya aibu.
 
Labda iwe ulikuwa unaishi kijijini ila TL ni maarufu sana hata kabla ya JPM.
 
Anajiharibia career yake mkuu,labda kama hana mpango wa kufanya siasa tena.....Tz tuna mtu mmoja hatujamyutilaizi kabisa ni Mbowe ,he is very smart.....huwezi kuona anafanya utoto kama wa Tundu Lissu
Busara kwa CCM hazifanyi kazi, ili uende nao sawa, basi unapaswa iwe piga nikupige.
 
Ni kweli jamaa hajatumia uungwana kabsa, sema kajivunjia uaminifu mkubwa kwa watanzania. Ila sema anajua hatogombea tena ndio mana amejitoa mhanga kujichafua[emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…