Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
nimezungumzia mwenendo wake hakuna upuuzi wowote ulinishtua ni vile alinipotezeaga mda kumkampeni mtu mpuuziNi nini alichoposti kilichokuvuruga kiasi hiki mkuu!
Hivi hadi sasa bado machungu hayajapungua tu na kukubali aliyofanya Mwenyezi Mungu?
Achana na Lissu, hatakusaidia lolote katika maumivu yako.
What? Kuheshimu maiti ya mtu muuaji? Huo ni utamuduni wa kishenzi sana. Hebu vaa viatu vya Lissu wewe uone.Ushauri mzuri!
Tamaduni zetu ni kuheshimu maiti na wafiwa.
Alipaswa kutoa pole na kukaa kimya.
Nilishangaa zaidi alipoendelea kung'ang'ana kwenye vyombo vya nje kuwa corona ndio imemuondoa Magu na kwamba alifariki trh 09.
Sikuona mantiki yake.
Ni kweli aliumizwa lakini inabidi asamehe ama akae kimya.
Bado hajatufahamu watz vizuri?
Tayari ameshaharibu reputation yake.
Siasa inahitaji akili kubwa sana hasa kwa Tanzania.
Yaani Roma mkatoliki kamzidi saikolojia Lissu?
"Mwenendo wake" wake?nimezungumzia mwenendo wake hakuna upuuzi wowote ulinishtua ni vile alinipotezeaga mda kumkampeni mtu mpuuzi
Na kama hiyo haitoshi; mtu huyo huyo angalau angejitahidi kuonyesha kuwa yeye hahusiki na tendo hilo; akakupa pole, na akafanya yaliyo ndani ya uwezo wake kukupa stahiki yako ili upone vizuri,...; badala yake jamaa anakuongezea maumivu waziwazi hadi kukuvua ubunge?1. Unamiminiwa magazine nzima ya risasi ili ufe lakini Mungu mkubwa unapona japo kwa kujeruhiwa sana
Nani atamzuwia Lissu kuropka? hiyo ni ada yake, iko kwenye damu.
Sidhani kama JPM anausika na kupingwa Risasi lissu. Kama ni hivyo basi atuna askari au TISS wa kijinga hivyo. Au washafukuzwa kazi.
Unalojibu siyo mada ya thread hii inayohusu Mbowe kumkanya Lissu aache uropokaji; ni speculations zako kuwa unadhani Jiwe alituma Magaidi wamwue Lissu...hata kama ni mropokaji, Jiwe hakutakiwa kumtumia magaidi wamshambulie kinyama namna ile.
ni maswali yenye hisa tupu mpaka pale tutakapoletewa ushahidi. Kuna sababu nyingi sana kuwa maswali haya hayawezi kuwa na uzito wowote wa kuweza kukubalika kwenye mahakama yoyote independent...ni nani aliyeagiza walinzi wa area D waondolewe siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu?
..ni nani aliyeagiza uchunguzi wa shambulio dhidi ya Tundu Lissu usifanyike?
..ni nani aliyeagiza Tundu Lissu asipewe stahiki zake za matibabu kama mbunge?
Unalojibu siyo mada ya thread hii inayohusu Mbowe kumkanya Lissu aache uropokaji; ni speculations zako kuwa unadhani Jiwe alituma Magaidi wamwue Lissu.
..hoja ya walinzi wa area D kuondolewa halafu Lissu akashambuliwa haina uzito?!ni maswali yenye hisa tupu mpaka pale tutakapoletewa ushahidi. Kuna sababu nyingi sana kuwa maswali haya hayawezi kuwa na uzito wowote wa kuweza kukubalika kwenye mahakama yoyote independent.
Hataki kubadilika sasa, wewe utafanya nini?JF iko miaka mingi na mambo ya hovyo huwa yanalaaniwa. Siyo Lissu siyo, Magufuli (RIP), siyo Kikwete, siyo Mbowe. JF haiko hapa kwa ajili ya wanasiasa tu! Ila hatutaki nchi kugeuzwa brothel na mtu asiyejitambua kama Lissu. Yaani ijulikabne eti huyo ndo mtu wa maana upinzani! Foooool!
Kinyume chakekwasasa upinzani hauna jipya
njoo kwangu nikuoneshe unachopinga"Mwenendo wake" wake?
Kwa kukusoma tu ulivyoandika, ni dhahiri wewe huwezi kumkampainia Lissu kwa lolote.
Hata kudanganya ni shida kwako?
kwenye siasa hatuna uadui ni kupingana kwa sera za kujenga taifaAdui muombee njaa, sasa wewe unamshauri mema ili iweje?
labda mataga lakini si Mimi. Mimi napigania haki katika mlengo wa reconciliation na sio revenge .Ninachokiona hapa Mataga wengi wanajaribu kwa kila namna kuwatia moyo Watendaji wa Serikali ili waweze kumuenzi Jiwe kwa yale mabaya na ukatili dhidi ya Wapinzani. Hawatafanikiwa pia kwa hilo.