Mbowe, mkanye Lissu

Yote anayofanya Tundu Lissu yana baraka za chama!
Sio za Chama pekee, bali za Watanzania na Mungu pia.
Mungu aliyemponya ndio anayempa uwezo wa kifikra kujulisha taifa jinsi nchi hii takatifu ya Tanzania lilivyokuwa limeanguka mikononi mwa agent wa yule muovu katika miaka mitano iliyopita.
Hivi hamjiulizi kwa nini kaamua kumuondoa katika umri mdogo wa 61 yrs? Someni hadithi ya mfalme Sauli ndio mtaelewa!
 
Ndo maana tunamfikishia salamu mwenyekiti asipokua makini itakimaliza
Yule ni msomi pia akumbuke alishafikia level ya upresident haimpasi kushindwa kuzuia hisia zake
I hope so!
Upuuzi mtupu huo
Wewe ni bogus, unamuwakilisha nani hapa? Unaandika kama kuna watu wamekutama. Umewahi kupigwa risasi hata moja wewe?(tena sio 16) na aliyewatuma au kuruhusu wasishikwe anasifiwa eti mtakatifu?
Wajinga kuwavua ujinga ni kazi kubwa
 
Atapambana Hadi na kivuli .

Si mlifurahi yeye afe na mkamfanye awe kilema .

Lissu endelea kuwachapa

Image ya chama waliharibu covid19,lowassa na wemgineo itakuwa lissu

Shwain

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hata marehemh alijua nguvu ya TANZANIA ya mtandao Hadi kutumia mabilioni kuminya watu wasipate internet na social media we Ni Nani kutuvimbia[emoji57]

Shwain

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
 
Kuna mambo yanafanya na huyu wa iramba na genge lake,siku zinakuja wanajitengenezea fimbo wenyewe
 
WanaCCM, Salaam!

Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake.

Tundu Lissu "nitarejea nchini iwapo tu uongozi wa Tanzania utaniruhusu kuorodhesha na kuanika maovu ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli".

Kwetu sisi wanaccm hii ni Dhihaka iliyopitiliza dhidi ya mpendwa wetu - ni matusi kwa CCM - ni dharau kwa CCM na viongozi wetu wa chama na Serikali. Iwapo ataruhusiwa kuanika mambo ambayo yeye anayaita mabaya. Je, anayemtuhumu atakuwa na uwezo wa kukanusha? Je, mambo hayo mabaya anayafahamu Lissu sisi tusiyajuwe?

Nawaomba vijana wa CCM kote nchini tudhibiti mihemuko ya huyu Tundu Lissu kwa maneno na vitendo. Amebwabwaja sana sasa kwa kauli moja tuseme inatosha "karibu Tanzania Tundu Lissu ili upewe majibu ya uhuni wako".

CCM is stronger than ever!
Tutakudhibiti kwa nguvu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…