Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tunamsubiri; atatukuta!Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake...
Lazima tuweke wazi yaliyotokea kabla ya kendelea na safari. Inaitwa forgive and forget and not bury and forget.Kiongozi umeandika upuuzi..ungechambua andiko lake..sio ushamba uleule wa kutishia kumpiga risasi..nafikiri mambo ya kishamba na kijima ya ubabe na kupigana risasi badala ya majadiliano tuyaache Sasa tuanze upya..
Hoja (dhihaka) ya tundu kaiweka hewani hapa Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe MagufuliWanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake....
Mwacheni Tundu Lissu aponye majeraha yake kwa kusherehekea kifo cha MFITINI wake, zile mvua za risasi alizonyeshewa halikuwa jambo la kiubinadamu kabisa. MATAGA, hapa duniani tunapita tu. Kibuli, Dharau, Mabavu na UHALIFU mwingineo msivipe nafasi katika maisha haya.Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake...
Lissu ni purely innocent alichokuwa anaongea bungeni ni kutetea wananchi ila kwakuwa madikteta hayapendi kukosolewa mkampiga risasi Sasa akija mguseni tuone.Ni wakumuacha alivoo mungu ajue ..
Kwa maaana mungu ndiye mweny mamlaka kwa mwanadamu yeyote anayehishi chini ya jua...
Kwa risasi zile yuko huru kusema yote. By the way yuko full informed of each and everything@!@@!!!!!@. Shangaaa sasa. Maana hata updates zote za ugonjwa mpaka kifo alikuwa nazo. Wewe ulikuwa nazo?Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake...
Huyo ameshageuka kuwa udongo/mavumbi maana huko ndiko alikotoka..Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake....
Kwani mtu akifa ndio mambo mabaya aliyafanya yanafutika? JPM hakuwa malaika alafu punguza mfadhaiko, utajipandisha presha bureWanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake....