Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #141
kamuulize mwalimu wako wa upeSijaelewa, Msio na chma then nyie ni wanaCHADEMA??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamuulize mwalimu wako wa upeSijaelewa, Msio na chma then nyie ni wanaCHADEMA??
utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
hakuna aliye msapoti musiba ila ukweli ni kwamba lissu na musiba hawafanani ki hadhi ila wanafananu upumbavu tuuuKwa nini akanywe Lissu?
Akina Musiba hamkuwaona na kuwasikia wakisema watavunja watu miguu bla bla
Lissu ana machungu
Risasi alipigwa yeye
Maisha yake yamebadilika
Msilazimishe jambo
Zungukeni mkimaliza maisha yataendelea
Vijiwe vitaongezeka
Anabihevu kama mwendawazimuPopote ulipo mwenyekiti wa chama,
Tunakufikishia salamu hizi sisi watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie atakama anauchungu na kisasi kwa Yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi take hastahili kufanya anayoyafanya labda Kama Hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi Wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lisu behave like gentalman .
kama chadema walivyo chinja mbuzi songea kufurahia mauti sio?Utamaduni wenu unasema mtu akipigwa risasi mnagonganisha gilasi ya mvinyo kusheherekea!
🤣🤣🤣 spana imekuingia kudadekiAcha kuandika kwa mihemko, ni vyema uandike kitu ukiwa umetulia ili ueleweke kwani ulichoandika hakieleweki! Utaacha lini tabia ya kukurupuka kama uharo?
ujumbe umefika lakini??Umeandika nini?upuuzi
Mbona unafokafoka kwani shida ni nini? Mbona hukumkemea huyo aliyempiga risasi na huyo aliyemnyima huduma ya matibabu. Hivi mtu anayekunyima huduma ya matibabu anakutakia uhai au kifo? Ukimuumiza mwenzako usishangae na wewe kuumizwa. Tuheshimiane na kutakiana mema tu, Duniani tunapita hata ukijiita Chuma awe Jiwe.Pamoja na kwamba tupo msibani kuomboleza kifo cha mwanaAfrika na Mwanamajumui Hayati John Pombe Magufuli, imenilazimu kuhoji huyu ndiye Mh Lisu Wakili msomi aliyetaka kuwa Rais wetu 2020?
Nimesoma Twitter zake na maandiko yake mbalimbali baada ya msiba wa JPM. Nikajiuliza hivi huyu ndiye alipaswa kuwa Rais? Kwa tamaduni, mila na desturi za kitanzania na Afrika kwa ujumla si sawa kushangilia kifo hata Kama mtu alikuwa humpendi kwa kiwango chochote. Haturuhusu kumhukumu Marehemu, Mungu ndiye mwenye uwezo huo.
Tusiandike kama hatujawahi kufiwa au Kama sisi hatutakufa. Kila mtu duniani atakufa na atakufa kwa stahili yake. Kipindi hiki ambacho ndugu jamaa na rafiki wanapopitia kipindi kigumu sisi sote tunapaswa kuwafariji kwa kuwa hakuna anayejua kesho yake.
Nimpongeze Mh Mbowe ambaye statement yake inaonesha namna alivyoiva na anavyothamini uhai. Mh Mbowe ameonyesha nguvu yake ya maarifa na uhodari wa kuchambua maneno kulingana na mkutadha. Kwa mazingira haya simuoni mtu wa kuvaa viatu vya Mh Mbowe Kama mh Lisu ambaye nilidhani ni matured naye anaweza kuandika vitu vya kitoto ambavyo walau vingeandikwa na BAVICHA.
Tunatambua Lisu alipigwa na kuumizwa, lakini tunamshukuru Mungu mwingi wa rehema alimponya na sasa yupo hai, lakini kitendo cha kupona kwake hakiondoi ubinadamu na kupandikiza umbumbumbu kwenye argument na reasoning.
Lakini pia hii ni indicator kwenu CHADEMA Kama munadhani Lissu will be a good candidate for 2025, basi aingie darasani kwa mzee Mbowe kujifunza hekima na kuchambua mambo kabla ya pablicity.
Pamoja na kwamba tupo msibani kuomboleza kifo cha mwanaAfrika na Mwanamajumui Hayati John Pombe Magufuli, imenilazimu kuhoji huyu ndiye Mh Lisu Wakili msomi aliyetaka kuwa Rais wetu 2020?
Nimesoma Twitter zake na maandiko yake mbalimbali baada ya msiba wa JPM. Nikajiuliza hivi huyu ndiye alipaswa kuwa Rais? Kwa tamaduni, mila na desturi za kitanzania na Afrika kwa ujumla si sawa kushangilia kifo hata Kama mtu alikuwa humpendi kwa kiwango chochote. Haturuhusu kumhukumu Marehemu, Mungu ndiye mwenye uwezo huo.
Tusiandike kama hatujawahi kufiwa au Kama sisi hatutakufa. Kila mtu duniani atakufa na atakufa kwa stahili yake. Kipindi hiki ambacho ndugu jamaa na rafiki wanapopitia kipindi kigumu sisi sote tunapaswa kuwafariji kwa kuwa hakuna anayejua kesho yake.
Nimpongeze Mh Mbowe ambaye statement yake inaonesha namna alivyoiva na anavyothamini uhai. Mh Mbowe ameonyesha nguvu yake ya maarifa na uhodari wa kuchambua maneno kulingana na mkutadha. Kwa mazingira haya simuoni mtu wa kuvaa viatu vya Mh Mbowe Kama mh Lisu ambaye nilidhani ni matured naye anaweza kuandika vitu vya kitoto ambavyo walau vingeandikwa na BAVICHA.
Tunatambua Lisu alipigwa na kuumizwa, lakini tunamshukuru Mungu mwingi wa rehema alimponya na sasa yupo hai, lakini kitendo cha kupona kwake hakiondoi ubinadamu na kupandikiza umbumbumbu kwenye argument na reasoning.
Lakini pia hii ni indicator kwenu CHADEMA Kama munadhani Lissu will be a good candidate for 2025, basi aingie darasani kwa mzee Mbowe kujifunza hekima na kuchambua mambo kabla ya pablicity.
Hahahaha magu ndo presidential material? Unajua presidential material ww au unaongea 2?magu mwenyew alikuwa hawezi kufika hata nusu ya lissu,sema magu alijua kufanya propaganda 2 akawin mind za watz,wachache wenye uelewe magu hata kwny uenyekit wa kijiji hafaiLisu sio presidential material kwa kweli bora Mbowe mara million moja! Hawezi kuzia hisia na mdomo wake.
Umesoma wewe hizo twitter zake na maandiko,lakini sisi hatujazisoma. Tujadili maelezo yako yasiokuwa na chembe ya ushahidi!!??Pamoja na kwamba tupo msibani kuomboleza kifo cha mwanaAfrika na Mwanamajumui Hayati John Pombe Magufuli, imenilazimu kuhoji huyu ndiye Mh Lisu Wakili msomi aliyetaka kuwa Rais wetu 2020?