Mbowe, mkanye Lissu

Kwa nini akanywe Lissu?
Akina Musiba hamkuwaona na kuwasikia wakisema watavunja watu miguu bla bla
Lissu ana machungu
Risasi alipigwa yeye
Maisha yake yamebadilika
Msilazimishe jambo
Zungukeni mkimaliza maisha yataendelea
Vijiwe vitaongezeka
hakuna aliye msapoti musiba ila ukweli ni kwamba lissu na musiba hawafanani ki hadhi ila wanafananu upumbavu tuuu
 
Anabihevu kama mwendawazimu
 
Lissu yuko sahihi kutoa ya moyoni zile risasi hazikuwa za mchezo na hii ndio fursa haitarudi tena, wazungu wanasema "Strike while the Iron is hot". Mnalalama nini wakati wanampiga risasi walikuwa wanawaza nini.

Mungu aliyepanga Magufuli ndio afe kwanza kabla ya Lissu ndiye mwenye akili na nyie wengine wote ni mbumbumbu tu hakuna mnachokijua.

Lissu asitishwe sijui na uchaguzi wa 2025 kwani Tanzania mshindi wa uchaguzi haamuliwi na sanduku la kura.
 
Lawama hizi ungewapa waliompiga risasi 16 na bado hakufa,kinyume na hapo mwacheni tu afanye analoliona sahihi kama vile waliompiga riasi nao walivyoona sahihi kufanya hivyo...
 
Mbona unafokafoka kwani shida ni nini? Mbona hukumkemea huyo aliyempiga risasi na huyo aliyemnyima huduma ya matibabu. Hivi mtu anayekunyima huduma ya matibabu anakutakia uhai au kifo? Ukimuumiza mwenzako usishangae na wewe kuumizwa. Tuheshimiane na kutakiana mema tu, Duniani tunapita hata ukijiita Chuma awe Jiwe.
 

Kaa na mavi yako bwana,
 
Haijalishi alipigwa ma bomu kiasi Gani
Muhimu kwake ilikua Ni kushukuru kMungu kwa kumponya na
 
Lisu sio presidential material kwa kweli bora Mbowe mara million moja! Hawezi kuzia hisia na mdomo wake.
Hahahaha magu ndo presidential material? Unajua presidential material ww au unaongea 2?magu mwenyew alikuwa hawezi kufika hata nusu ya lissu,sema magu alijua kufanya propaganda 2 akawin mind za watz,wachache wenye uelewe magu hata kwny uenyekit wa kijiji hafai
 
Reaction ya Watanzania kwenye huu msiba unamvuruga akili kabisa ameongeza tu uropokaji.
Angekaa kimya kipindi hiki angejenga walau taswira nzuri kidogo,but hey ni Lissu yuleyule mkurupukaji na anaejua kiiiila kitu.Acha ajipoteze zaidi
 
Umesoma wewe hizo twitter zake na maandiko,lakini sisi hatujazisoma. Tujadili maelezo yako yasiokuwa na chembe ya ushahidi!!??
Hivi hata kuandika tuu,"nanukuu" umeshindwa!!? Mtanzania acha ujuha,uvivu na ujinga. CCM imewafukarisha sana kiakili wafuasi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…