Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

tulieni Lisu awanyooshe na yeye ni binadamu atoe machungu yake moyoni,huu msiba usiwafanye mnahuruma sana
Anajiharibia career yake mkuu,labda kama hana mpango wa kufanya siasa tena.....Tz tuna mtu mmoja hatujamyutilaizi kabisa ni Mbowe ,he is very smart.....huwezi kuona anafanya utoto kama wa Tundu Lissu
 
Watu kama Lissu wanaishi Tanzania ambayo ipo zaidi mitandaoni haswa JF na Twitter, Tanzania flani ya kufikirika. Kuna ukweli wanauona ila wamegoma kuukubali.

Watanzania ni wapole wapo kimya ila wanajua ukweli na uongo, ukiwapa nafasi watoe maamuzi yao utawaona.

Mara nyingi watanzania wanazungumza kwenye maboksi ya kura na matukio kama haya tulioona wakimlilia Magufuli.
Ili kudhihirisha usemalo,washauri wanasiasa iletwe katiba mpya.
 
Watu kama Lissu wanaishi Tanzania ambayo ipo zaidi mitandaoni haswa JF na Twitter, Tanzania flani ya kufikirika. Kuna ukweli wanauona ila wamegoma kuukubali.

Watanzania ni wapole wapo kimya ila wanajua ukweli na uongo, ukiwapa nafasi watoe maamuzi yao utawaona.

Mara nyingi watanzania wanazungumza kwenye maboksi ya kura na matukio kama haya tulioona wakimlilia Magufuli.
Nakubaliana na wewe.
 
Uko sahihi, saizi mchawi technologia......haya mambo ya Siasa unatakiwa umakini sana.........siasa maneno yako yanaweza kukuadhibu baadaye ukaonekana ni mtu wa aina fulani usiyefaa hata kama ulikuwa unanafasi ya kutoboa na ushawishi
Anadhani watanzania tutaendelea kuwa waking hivo tutasahau tuu huko mbeleni!!
 
Tundu Lissu alivyomininiwa risasi kama nyati kuna mtu alizuia watu wasimwombee kwa Mungu apone.

Mungu alimponya Lissu lakini akapata hasira dhidi ya watu waliomfanyia unyama mja wake. Kilichotokea sasa si kingine bali ni hasira kutoka kwa Mungu. Na kama kuna watu wanaendelea kutaka kumsulubu Lissu (iwe kwa maneno au vitendo), Mungu atashusha dhahama yake juu yao...... ole wao!!
 
Anajiharibia career yake mkuu,labda kama hana mpango wa kufanya siasa tena.....Tz tuna mtu mmoja hatujamyutilaizi kabisa ni Mbowe ,he is very smart.....huwezi kuona anafanya utoto kama wa Tundulisu
Ndugu umeongea point kubwa saana Tena ifungulie uzi ieleweke vizuri baadae
 
Alivyopigwa risasi kuna mtu alizuia watu wasimwombee kwa Mungu apone.

Mungu alimponya Lissu lakini akapata hasira dhidi ya watu waliomfanyia unyama mja wake. Kilichotokea sasa si kingine bali ni hasira kutoka kwa Mungu. Na kama kuna watu wanaendelea kutaka kumsulubu Lissu (iwe kwa maneno au vitendo), Mungu atashusha dhahama yake juu yao...... ole wao!!
Kama ni kweli Mungu kamlipia Tundu Lissu sasa yeye anahangaika na nini?

No ukweli wazi asingeweza kabisa kumfanya lolote Hayati...
Ni kweli watanzania wala mabeberu hata mmoja aliyemsaidia....

If so why he keep insult people especially marehemu?
Akae akijua Mungu Hana upendeleo kama alimuadhibu Meko basi atamuazibu na yeye Kama atafanya upuuzi arejee kisa Cha Musa alipopewa adhabu ya kifo baada ya kukiuka maagizo ya Mungu, hivyo mumshauri asipotoke.
 
Alivyopigwa risasi kuna mtu alizuia watu wasimwombee kwa Mungu apone.

Mungu alimponya Lissu lakini akapata hasira dhidi ya watu waliomfanyia unyama mja wake. Kilichotokea sasa si kingine bali ni hasira kutoka kwa Mungu. Na kama kuna watu wanaendelea kutaka kumsulubu Lissu (iwe kwa maneno au vitendo), Mungu atashusha dhahama yake juu yao...... ole wao!!
kama ni kweli Mungu kamlipia Tundu lissu sasa yeye anahangaika na nini???
No ukweli wazi asingeweza kabisa kumfanya lolote Hayati...
Ni kweli watanzania Wala mabeberu hata mmoja aliyemsaidia....
If so why he keep insult people especially marehemu??
Akae akijua Mungu Hana upendeleo kama alimuadhibu Meko basi atamuazibu na yeye Kama atafanya upuuzi arejee kisa Cha Musa alipopewa adhabu ya kifo baada ya kukiuka maagizo ya Mungu, hivyo mumshauri asipotoke.
 
"Tamaduni zenu...!!???"

My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka...

Mimi nasema hivi;

Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia...
Hata abwabwaje! Ni kelele za chura, maji yananywewa.
 
Nimejiuliza sana maswali kuhusu hii behavior ya Lissu, ila jibu moja nililolipata ni kwamba Lisu anajua kabisa uhasama wake na JPM kwa kiasi kikubwa ndicho kilichompaisha yeye kisiasa. Hivyo haoni nini cha kuzungumza zaidi ya kuendelea kuponda hata Marehemu. Hii itamporomosha zaidi
Totally wrong!! Inawezekana wewe ndiye ambaye umeanza kumjua Lissu wakati wa Magufuli!!
 
kama ni kweli Mungu kamlipia Tundu lissu sasa yeye anahangaika na nini???
No ukweli wazi asingeweza kabisa kumfanya lolote Hayati...
Ni kweli watanzania Wala mabeberu hata mmoja aliyemsaidia....
If so why he keep insult people especially marehemu??
Akae akijua Mungu Hana upendeleo kama alimuadhibu Meko basi atamuazibu na yeye Kama atafanya upuuzi arejee kisa Cha Musa alipopewa adhabu ya kifo baada ya kukiuka maagizo ya Mungu, hivyo mumshauri asipotoke.
Lissu anamtukuza Mungu. Mwacheni Lissu apumue kwa raha zake bana - mbona mtesi wake alitamba miaka yote 5 bana?
 
Back
Top Bottom