Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Naunga mkono.

Anaonyesha hata ukimpatia nchi atakuwa mtu wa visasi,ajifunze na sio kuropoka ropoka hovyo hovyo.

Hivi ana mshauri kweli?
 
Hizi tamaduni zetu ni kwa kila Mtanzania au watanzania maalumu? Maana nakumbuka sawa sawa alichosema Gwajima baada ya kifo cha Seif Sharif. Pia sikumbuki watanzania bara kuungana na watanzania visiwani pale wazanzibari walivyokuwa wakiuawa wakati wa kampeni za uchaguzi.
 
Sema huu msiba umefanya tumewafaham kwenye hilo kundi nani kiongozi na anaefaa japo kuaminiwa, yaani kama mtu anapambana mpaka na maiti jiulize akipewa majeshi na vifaru kama hataua mpaka kuku wa jirani, mi huwa nasema kila siku pamoja na kwamba sio mfuasi wa Upinzania ila MBOWE ana hekma za kiuongozi ( leadership Ethics) jamaa yuko smart sana na no Wonder wenye akili wanakomaa nae awe tu mwenyekiti, haongei kila saa mpaka muda ukifika lkn kuna mbuzi zingine jaman yaani unashangaa kafikaje alikofika
 
Yaani unampiga binadamu mwenzio Risasi mchana kweupe,kutoa hela za matibabu yake kama mbunge,
Halafu wajinga fulani wanataka tuwe na huruma na upendo!Kivipi?

Naamini Lissu kupona ilikuwa mipango ya Mungu,na vilevile hili lililotokea ni mipango yake.
Mungu hapendi dhuluma na uonevu.
Pia hapendi visasi
 
Sema huu msiba umefanya tumewafaham kwenye hilo kundi nani kiongozi na anaefaa japo kuaminiwa, yaani kama mtu anapambana mpaka na maiti jiulize akipewa majeshi na vifaru kama hataua mpaka kuku wa jirani, mi huwa nasema kila siku pamoja na kwamba sio mfuasi wa Upinzania ila MBOWE ana hekma za kiuongozi ( leadership Ethics) jamaa yuko smart sana na no Wonder wenye akili wanakomaa nae awe tu mwenyekiti, haongei kila saa mpaka muda ukifika lkn kuna mbuzi zingine jaman yaani unashangaa kafikaje alikofika
Mzee wenu alilewa madaraka,akatumia majeshi anavyotaka. Mlikuwa mnachelelea mwenzenu alipokuwa akiuguza majeraha yake ya risasi.

Kumbe hujafa hujaumbika.
 
NIKIKUMBUKA KIPINDI MZEE NDESAMBURO AMEFARIKI HALAFU IKAANDALIWA RATIBA AAGWE UWANJA WA MASHUJAA MOSHI MJINI, LAKINI POLISI WAKAZUIA ETI ATASUMBUA MAHAKAMA NA SHULE, WAKATI WANARUHUSU MIKUTANO YA INJILI.
IKAPANGWA BASI AZUNGUSHWE MOSHI MJINI ILI WATU WAMUAGE KWASABABU UWANJANI IMESHINDIKANA, BADO KUTOKANA NA SABABU ZA KISIASA POLISI WAKAZUIA.
LISU KAPIGWA RISASI WATU WANAJITOKEZA KUMUOMBEA WANAZUIWA, WATU WANAJITOKEZA KUMCHANGIA DAMU WANAZUIWA BADO NA UBUNGE AKANYANG,ANYWA KWASABABU TU ZA KISIASA, LEO TUNAAMBIWA WATANZANIA TUWE WAMOJA ILA TUKUMBUKE CHUKI TULITENGENEZEANA WENYEWE SIKU NYINGI.
TAIFA LILIPOFIKIA LINAHITAJI SANA MAOMBI ILI KURUDIA UMOJA WETU WA KITANZANIA KAMA ZAMANI.
 
Anajipiga spana mwenyewe! Sisi watanzania tutampiga spana nyingine 2025 chini ya Jemedari mama samia!
CHADEMA hawatampa nafasi hiyo tena huyu mropokaji.
Mbowe anaakili hawezi kumruhusuhuyu tena, na mbakasasa uanachamawake upomashakani.

Chama hakiwezi kuwa na mtu mwenye kujifanya mjuaji kama huyo ambae watanzania wanazidi kumdharau kadiri siku zinavyokwenda.
 
Back
Top Bottom