johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hakika hujanielewa bwashee!Wewe unawashwa na nini? Wewe si ushamuunga mkono unatosha. Wengine waache waamini njia nyingine ni kuwa kinyume nae kwa mambo mengine. Kwako wewe yote yanayotendeka Tanzania ni mazuri au? Maana sijakuelewa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajifuze maana ya 'Self image' hii ni tabia ambayo kila binadamu anayo hujijenga kwa muda mrefu kuibadirisha siyo rahisiuongozi unaanzia kwa Raisi ni lini Magu amejaribu kuwa kama Kenyatta na kutaka makubaliano! Tumekuwa na utamaduni wa kulalamikia upande mmoja wakati ukweli ni kwamba Mbowe ameongea siku ya uhuru wazi je Magu kafanya nini. Watu ambao wataumia ni Watanzania wote
Mbona Mrema, Cheyo, Shibuda na Prof Lipumba wanashirikiana na serikali ya Rais Magufuli, yeye Mbowe anafeli wapi?!uongozi unaanzia kwa Raisi ni lini Magu amejaribu kuwa kama Kenyatta na kutaka makubaliano! Tumekuwa na utamaduni wa kulalamikia upande mmoja wakati ukweli ni kwamba Mbowe ameongea siku ya uhuru wazi je Magu kafanya nini. Watu ambao wataumia ni Watanzania wote
Hapo nimekuelewa!Mbowe ana tatizo moja kubwa, ni kupenda ukuu hivyo hawezi kujishusha na kukubaliana na uhalisia
Mbona Mrema, Cheyo, Shibuda na Prof Lipumba wanashirikiana na serikali ya Rais Magufuli, yeye Mbowe anafeli wapi?!
Aliomba maridhiano kuhusiana na kitu gani?!Anataka Sana si alishaomba mpaka maridhiano sema mh raisi kampiga chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kumbe wewe unazungumzia ushirikiano kama huo?Mbona Mrema, Cheyo, Shibuda na Prof Lipumba wanashirikiana na serikali ya Rais Magufuli, yeye Mbowe anafeli wapi?!
Kama CCM haitaki ushirikiano mbona inapokea wabunge na madiwani kutoka Chadema?!Tanzania hatujafikia hivyo na jingine upinzani unataka iwe hivyo tatizo chama tawala ndio hakiko tayari kusikia hilo
Mbowe kwa sababu ana wabunge, madiwani na mameya angeweza kutoa ushirikiano wa kisera na kisayansi zaidi!Duh! Kumbe wewe unazungumzia ushirikiano kama huo?
Bwashee bure kabisa.