johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Rais Magufuli ameshakutana na viongozi wengi tu wa Upinzani pale Ikulu kwa mfano maalimu Seif, Prof Lipumba na mzee Lowassa akiwa bado Chadema.Bwashee hebu nikuulize - hicho unachokisema kinawezekana vipi endapo Rais Magufuli hataki kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani? Kwa upande wa Kenya hili liliwezekana kwa kuwa yeye hakuwa na kinyaa cha kukutana na wapinzani.
Mbowe kwa sababu ana wabunge, madiwani na mameya angeweza kutoa ushirikiano wa kisera na kisayansi zaidi!
Lipi ambalo halijasikilizwa bwashee?!Unaongelea kitu ambacho hakipo mbona mawazo ya kisera yanatolewa kila siku? je wanasikilizwa basi!
Lipi ambalo halijasikilizwa bwashee?!
Mbowe anataka uchaguzi wa serikali za mitaa urudiwe wakati wagombea wao walishiriki!Je Mbowe aliongea nini kwenye sherere za uhuru Mwanza je kasikilizwa? Magufuli kafanya nini mpaka sasa?
Ujajibu swaliMbowe anataka uchaguzi wa serikali za mitaa urudiwe wakati wagombea wao walishiriki!
Mimi nilisikia hilo moja tu!Ujajibu swali
Je Mbowe aliongea nini kwenye sherere za uhuru Mwanza je kasikilizwa? Magufuli kafanya nini mpaka sasa?
Ile ni protoko kisiasa ili kuonyesha wadhamini wa nje na waangalizi kuwa chama kinakubalika hadi wapinzani wanakikimbiliaKama CCM haitaki ushirikiano mbona inapokea wabunge na madiwani kutoka Chadema?!
Bwashee kwani wewe huikubali CCM?!Ile ni protoko kisiasa ili kuonyesha wadhamini wa nje na waangalizi kuwa chama kinakubalika hadi wapinzani wanakikimbilia
Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu.
Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi wao maendeleo.
Ni vema Mbowe akaiga jambo hili jema kwa jirani zetu na siyo kupinga pinga tu kila jambo kama Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kwani wewe huikubali CCM?!
Ni Mbowe huyo huyo ambaye alimuomba rais kufanya maridhiano ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020!Au hukusikia hotuba yake?Mbowe ana tatizo moja kubwa, ni kupenda ukuu hivyo hawezi kujishusha na kukubaliana na uhalisia