Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Mbowe must Go😳makubwa?!
Okee okeeMbowe must Go
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Poleni sana Wanachadema. I feel your pain. Your life long Dictator must go🙌🏾Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Wenye maamuzi hayo ni wanachama? Ww ni mwanachama?Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Punguza unafiki, wakati Mbowe anavunjiwa bilcanas , na kuharibiwa mashamba yake mlimcheka, alipopewa kesi ya ugaidi mkamuita gaidi, alipofungua akaunti zake mlimfanyis dhihaka. Leo unamwita Kibaraka, kisa akasamehe na kupiga picha na Viongozi wa CCM waliompitisha kwenye matatizo. Haya endeleeni tu.Poleni sana Wanachadema. I feel your pain. Your life long Dictator must go🙌🏾
Kibaraka tyuu?
=======================
Dadeki mbowe amejua itesa ccm , kamatia hapohapo Mh Mbowe , walizoea sasa wamekutana na kisiki sio kwa povu hiliNilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Naona wewe kapuku mjinga umekuja kasi sana, Ngoja tuone utafika wapi, Masikini wengi waliokuja spidi kama wewe hatujui walikoishiaNilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Ndio sababu akaanza Uasi kwa Nchi?Punguza unafiki, wakati Mbowe anavunjiwa bilcanas , na kuharibiwa mashamba yake mlimcheka,
Kesi ipo mahakamani, hakupewa tu. Ukweli alitaka kuleta Utoto wa mjini dhidi ya Serikali-ameanza kunyooka sasa.alipopewa kesi ya ugaidi mkamuita gaidi,
Unataka kusema hujui yaliyokuwa yakifanyika Mbowe? Somethings never change, just the degree of how...alipofungua akaunti zake mlimfanyis dhihaka.
Mimi nimeuliza. Hatahivyo ishara nyingi zinapeleka aitwe hivyo tu.Leo unamwita Kibaraka,
Mbowe ni mtu wa Vinyongo. Hajui ku concede. A well known trait. Mbowe anamsamehe nani?kisa akasamehe na kupiga picha na Viongozi wa CCM waliompitisha kwenye matatizo. Haya endeleeni tu.
Mbowe must go.Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Ndani ya sauti ya watanzania.Jadilini masuala ya kitaifa. sikilizeni hekima za dr Slaa,mzoefu wa siasa.Wenye maamuzi hayo ni wanachama? Ww ni mwanachama?
Hiyo sauti ya watanzania ndio kitu gani ? Huyo bwana ndio nani nchi hii anaotwa rugemalila sijui whatever? narudia tena punguzeni mihemko, waachiwe wanachamaRugemalila ndani ya sauti ya watanzania.Jadili masuala ya kitaifa,wacha kutumiwa. sikiliza hekima za dr Slaa,wazoefu wa siasa.
Pamoja na kupiga ruzuku, lakini pia ni muongo. Alituahidi kuwa 2023 ndio ilikuwa mwisho wake, anaachia ngazi, lakini mpaka sasa jamaa yupo tu na hata dalili za kuondoka hazipo!Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.