Mbowe must go, hatukutaki!

Mbowe must go, hatukutaki!

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.

Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.

#MboweMustGo
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Kama CCM, imekuwepo zaidi ya Mika 60 Toka TANU-CCM, wizi ufisadi, na mambo mengi hovyo, Leo mnahangaika na CHADEMA na Umwenyeki wa Mbowe.

Mbowe kamanda wa kikosi Cha anga ,Bado yupo sana, CHADEMA ipo sana, JIWE kambale alishindwa kuimaliza, KIZIMKAZI na MBOGAMBOGA wote hakuna wa kumuondoa Mbowe,.

Kazi mnayo sana 2025 .
 
20240701_005919.jpg
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.

Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.

#MboweMustGo
Wenye maamuzi hayo ni wanachama? Ww ni mwanachama?
 
Poleni sana Wanachadema. I feel your pain. Your life long Dictator must go🙌🏾

Kibaraka tyuu?
iu

=======================
fb_img_1680258242993-jpg.2572153
Punguza unafiki, wakati Mbowe anavunjiwa bilcanas , na kuharibiwa mashamba yake mlimcheka, alipopewa kesi ya ugaidi mkamuita gaidi, alipofungua akaunti zake mlimfanyis dhihaka. Leo unamwita Kibaraka, kisa akasamehe na kupiga picha na Viongozi wa CCM waliompitisha kwenye matatizo. Haya endeleeni tu.
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.

Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.

#MboweMustGo
Dadeki mbowe amejua itesa ccm , kamatia hapohapo Mh Mbowe , walizoea sasa wamekutana na kisiki sio kwa povu hili
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.

Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.

#MboweMustGo
Naona wewe kapuku mjinga umekuja kasi sana, Ngoja tuone utafika wapi, Masikini wengi waliokuja spidi kama wewe hatujui walikoishia
 
Punguza unafiki, wakati Mbowe anavunjiwa bilcanas , na kuharibiwa mashamba yake mlimcheka,
Ndio sababu akaanza Uasi kwa Nchi?
alipopewa kesi ya ugaidi mkamuita gaidi,
Kesi ipo mahakamani, hakupewa tu. Ukweli alitaka kuleta Utoto wa mjini dhidi ya Serikali-ameanza kunyooka sasa.
alipofungua akaunti zake mlimfanyis dhihaka.
Unataka kusema hujui yaliyokuwa yakifanyika Mbowe? Somethings never change, just the degree of how...
Leo unamwita Kibaraka,
Mimi nimeuliza. Hatahivyo ishara nyingi zinapeleka aitwe hivyo tu.
kisa akasamehe na kupiga picha na Viongozi wa CCM waliompitisha kwenye matatizo. Haya endeleeni tu.
Mbowe ni mtu wa Vinyongo. Hajui ku concede. A well known trait. Mbowe anamsamehe nani?
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.

Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.

#MboweMustGo
Mbowe must go.

Umeme ghali,unakatika katika Mbowe ni sababu.Mbowe must go.

Msafara wa Bi Tozo magari ya kufahari V8 147.Mbowe ndiye mnunuzi mkuu wa magari ya serekali [ Procurement Commissioner].Mbowe must go.

Ukosefu wa ajira,vijana wetu wamemaliza vyuo vikuu Medical Doctors, Nurses,Accountants,Marketing consultants,Financial consultants,Logistics management consultants......... wote hawana ajira tatizo ni Mbowe.Mbowe must go.

Reports mbaya za matumizi mabaya ya walipa kodi yamebainishwa na ofisi ya CAG hakuna aliyefungwa,hakuna aliyeshtakiwa,hakuna hatua za maana za kinidhamu zilizochukuliwa.Ukienda mbali Mbowe ndiye mtetezi mkuu wa wabadhirifu wa mali ya umma.Mbowe must go.

Mbowe kauza Ngorongoro,Kilimanjaro International Airport,Bandari,Misitu.........Mbowe must go.

Mbowe katuletea tozo za miamala ya simu,bill za Tanesco.....Mbowe must go.

Hali ya uchumi ni mbaya fedha za kigeni ni haba usd hazionekani mitaani.Usd zote Mbowe kazificha huko kwao Machame.Mbowe must go.

Maendeleo hakuna kwasababu ya Mbowe.Mbowe must go.

Aliyetuloga Watanganyika kazikwa wapi,tumfukue labda ataturejeshea akili na maarifa.
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Pamoja na kupiga ruzuku, lakini pia ni muongo. Alituahidi kuwa 2023 ndio ilikuwa mwisho wake, anaachia ngazi, lakini mpaka sasa jamaa yupo tu na hata dalili za kuondoka hazipo!
Mbowe must go
 
Back
Top Bottom