Mbowe must go, hatukutaki!

Hoja ndo hiyo?? Mnampotosha; Mbowe must go
 
Hizo siyo sababu za kumfanya asipumzike ili kurejesha uhai wa chama.

Hata hivyo kama tukiamua kutumia hizo sababu za kitoto basi Ampishe Lissu Kwa sababu alinusurika kufa!!

Mbowe must go
 
Kwamba hizo ndo sababu?

Tusidanganyane Mbowe anakipoteza Chama
 
Kakuchosha umembeba mgongoni? Au Yuko CCM anakuharibia chama? Hebu mfukuze kwanza Nape kaiharibia CCM pakubwa. Katoa Siri ya CCM. Mbowe hajatoka jana, hatoki leo, kesho Wala kesho kutwa. Mbowe kamatia hapohapo wameanza kuomba PO!
 
Mbowe na CCM nani mzee?...nani wa kuondoka...Kama kweli nchi ina matatizo, nani kashindwa kuyaondoa? ni MBOWE au CCM....Tunapojadili DIRA ya nchi hii, ka-MBOWE ni kamtu kadogo sana, lakini CCM ni lidude likubwa lililotufikisha hapa; kama ni pazuri hewaraaa, kama ni pabaya basi wapokee lawama!
 
Moshi wa Mwenge! Tumebaki nao Tanzania tu wengine wameweka kwenye majumba yao ya makumbusho ya mataifa yao. Ndiyo maana nikisikia tu mwenge unapita huku Mimi napita kule. Ndiyo maana pia nina akili timamu mpaka leo. La sivyo ningekuwa kama mtoa mada!
 
Mbowe amelisababishia Taifa hasara kubwa sana.

Kimsingi Taifa limerudi nyuma kwa sababu ya Mbowe!
Kuanzia awepo madarakani hadi sasa mikopo inazidi! Maendeleo ni ya kusua sua. Miradi mingi inafeli!
 
Mbowe ni mkubwa kuliko ccm na serikali.
Anatuchelewesha kama Taifa
 
Ninakubaliana nawe kabisa. Mbowe alipitishwa kwenye tanuru kwelikweli na akafuzu.
Ni bahati mbaya sana kwake na sisi sote tunao heshimu uongozi wake, kwamba sasa anaweza kuwa anawafanyia kazi mahasimu wakubwa si kwa chama chake pekee, bali kwa waTanzania kwa ujumla.

Mbowe anaweza kuwa anashindwa kutambua kwamba wakati huu wa mapambano na adui, si wakati wake tena. Heshima kwake ni kupisha viongozi wengine ambao atakuwa amewaandaa yeye mwenyewe waendeleze mapambano hayo.

Mbowe kwa sasa ni turufu kwa CCM; hasa chini ya huyu 'Chura Kiziwi'.
 
Hilo dhahiri ni jukumu la wana CDM wenyewe.Lakini,si mlevi mmoja tu ambaye hana hata uanachama wa CDM kuja JF na kuandika kwa "kelele" tu.Aende chamani aanzishe hilo suala la kumtoa Mbowe.
 
Hilo dhahiri ni jukumu la wana CDM wenyewe.Lakini,si mlevi mmoja tu ambaye hana hata uanachama wa CDM kuja JF na kuandika kwa "kelele" tu.Aende chamani aanzishe hilo suala la kumtoa Mbowe.
Ninakubaliana nawe bila ya shaka kuhusu hili.
Pengine ningeelekeza ushauri wangu moja kwa moja kwa Mheshimiwa Mbowe mwenyewe, ili aupime ipasavyo.
 
Siungi mkono mbowe ku overstay

lakini NAMI naulizia mbowe akiondoka cdm na ccm iondoke madarakani miaka mingi madarakani hakuna la maana wanalofanya zaidi ya wizi na ufisadi
 
Sie wanachadema tunampenda aendelee kuwa mwenyekiti
 
Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Na wewe Pascal unaamini hao wanaotaka Mbowe atoke ni wanachadema? Najua unajua ukweli ila unautendea haki uccm wako kama alivyo mleta uzi huu.
 

Kwani mwenyekiti si anapatikana kwa kupigiwa kura? Kama ndio Sasa yeye anamakosa gani? Kwa maana kama ni kugombea ni haki ya kila mwanachama na yeye ni mwanachama kwahiyo anagombea ili kutimiza haki yake ya kikatiba ila kinachotokea ni kwamba ninyi wenyewe ndio mnaempa kura zenu zinazomfanya aendelee kuwa pale alipo.

Kwahiyo hizi movement za must go ni zakitoto sana coz hakujiweka mwenyewe na wote tunaamini chadema ni chama kikongwe cha upinzani na ndio chama kinachoamini kwenye uchaguzi wa uhuru na haki so kila kinachotokea kwenye uchaguzi wa chama tunaamini kwa asilimia zote kwamba kimenyooka.

So "Mbowe must go" is a childish movement coz hata ingekua mimi ndio Mbowe wala nisingeondoka as long as kila nikigombea wananchi bado wanaendelea kunichagua, hii inaonesha kwamba wanaona value yangu kwa chama na wanataka waendelee kuongozwa na mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…