Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #61
Mbowe must goMpaka mnyee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe must goMpaka mnyee
Naungana na wewe njoo wewe basi uwe mwenyekiti wa chadema, Msigwa ana plan za kishamba sanaMbowe must go
Mbowe must goAondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Mbowe must goNaungana na wewe njoo wewe basi uwe mwenyekiti wa chadema
Mbowe must goKakuchosha umembeba mgongoni? Au Yuko CCM anakuharibia chama? Hebu mfukuze kwanza Nape kaiharibia CCM pakubwa. Katoa Siri ya CCM. Mbowe hajatoka jana, hatoki leo, kesho Wala kesho kutwa. Mbowe kamatia hapohapo wameanza kuomba PO!
Mbowe must goSie wanachadema tunampenda aendelee kuwa mwenyekiti
Njaa mbaya sanaMbowe must go
Mbowe must goNaungana na wewe njoo wewe basi uwe mwenyekiti wa chadema, Msigwa ana plan za kishamba sana
Mbowe must goNa wewe Pascal unaamini hao wanaotaka Mbowe atoke ni wanachadema? Najua unajua ukweli ila unautendea haki uccm wako kama alivyo mleta uzi huu.
Mbowe must goNjaa mbaya sana
Anzishen chama chenuAondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Mbowe must goMnakumbuka shuka kumekucha?
Miaka yote tulivyokuwa tunawaambia hiyo ni NGO ya kifamilia, nini mlikuwa hamkielewi?
Mbowe must goAnzishen chama chenu
Mbona zito alianzisha chake
Simple tuu ukiona hauridhiki na uongoz ondoka
Mbona wengi wameondoka tuu
Nani wa kumuondowa?Mbowe must go
Mbowe must goNani wa kumuondowa?
Bado sanaaa mbowe tupo naeKwani mwenyekiti si anapatikana kwa kupigiwa kura? Kama ndio Sasa yeye anamakosa gani? Kwa maana kama ni kugombea ni haki ya kila mwanachama na yeye ni mwanachama kwahiyo anagombea ili kutimiza haki yake ya kikatiba ila kinachotokea ni kwamba ninyi wenyewe ndio mnaempa kura zenu zinazomfanya aendelee kuwa pale alipo.
Kwahiyo hizi movement za must go ni zakitoto sana coz hakujiweka mwenyewe na wote tunaamini chadema ni chama kikongwe cha upinzani na ndio chama kinachoamini kwenye uchaguzi wa uhuru na haki so kila kinachotokea kwenye uchaguzi wa chama tunaamini kwa asilimia zote kwamba kimenyooka.
So "Mbowe must go" is a childish movement coz hata ingekua mimi ndio Mbowe wala nisingeondoka as long as kila nikigombea wananchi bado wanaendelea kunichagua, hii inaonesha kwamba wanaona value yangu kwa chama na wanataka waendelee kuongozwa na mimi.
Mbowe must goKwani mwenyekiti si anapatikana kwa kupigiwa kura? Kama ndio Sasa yeye anamakosa gani? Kwa maana kama ni kugombea ni haki ya kila mwanachama na yeye ni mwanachama kwahiyo anagombea ili kutimiza haki yake ya kikatiba ila kinachotokea ni kwamba ninyi wenyewe ndio mnaempa kura zenu zinazomfanya aendelee kuwa pale alipo.
Kwahiyo hizi movement za must go ni zakitoto sana coz hakujiweka mwenyewe na wote tunaamini chadema ni chama kikongwe cha upinzani na ndio chama kinachoamini kwenye uchaguzi wa uhuru na haki so kila kinachotokea kwenye uchaguzi wa chama tunaamini kwa asilimia zote kwamba kimenyooka.
So "Mbowe must go" is a childish movement coz hata ingekua mimi ndio Mbowe wala nisingeondoka as long as kila nikigombea wananchi bado wanaendelea kunichagua, hii inaonesha kwamba wanaona value yangu kwa chama na wanataka waendelee kuongozwa na mimi.
CCM ina wenywe na Chadema ina wenyewe,Cuf ina wenyewe,ACT ina wenyewe mtu amestaafu lakini yuko kwa mlango wa nyuma, UDP nk ukishindwa anzisha chama chako au hamia vyama vingine. Ya chadema waachie wana chadema na katiba yao. badala ya kusema CCM must go unasema Mbowe must go huna akili, huyo anayehamasisha ana agenda ya siri kipindi hiki nyeti cha uchaguzi. Achaneni naye.Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Mbowe must goCCM ina wenywe na Chadema ina wenyewe,Cuf ina wenyewe,ukishindwa anzisha chama chako au hamia vyama vingine. ya chadema waachie wana chadema na katiba yao. badala ya kusema CCM must go unasema Mbowe must go huna akili, huyo anayehamasisha ana agenda ya siri kipindi hiki nyeti cha uchaguzi.
Mbowe must goBado sanaaa mbowe tupo nae