Mbowe must go, hatukutaki!

Mbowe must go, hatukutaki!

Kakuchosha umembeba mgongoni? Au Yuko CCM anakuharibia chama? Hebu mfukuze kwanza Nape kaiharibia CCM pakubwa. Katoa Siri ya CCM. Mbowe hajatoka jana, hatoki leo, kesho Wala kesho kutwa. Mbowe kamatia hapohapo wameanza kuomba PO!
Mbowe must go
 
Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Anzishen chama chenu
Mbona zito alianzisha chake
Simple tuu ukiona hauridhiki na uongoz ondoka
Mbona wengi wameondoka tuu
 
Kwani mwenyekiti si anapatikana kwa kupigiwa kura? Kama ndio Sasa yeye anamakosa gani? Kwa maana kama ni kugombea ni haki ya kila mwanachama na yeye ni mwanachama kwahiyo anagombea ili kutimiza haki yake ya kikatiba ila kinachotokea ni kwamba ninyi wenyewe ndio mnaempa kura zenu zinazomfanya aendelee kuwa pale alipo.

Kwahiyo hizi movement za must go ni zakitoto sana coz hakujiweka mwenyewe na wote tunaamini chadema ni chama kikongwe cha upinzani na ndio chama kinachoamini kwenye uchaguzi wa uhuru na haki so kila kinachotokea kwenye uchaguzi wa chama tunaamini kwa asilimia zote kwamba kimenyooka.

So "Mbowe must go" is a childish movement coz hata ingekua mimi ndio Mbowe wala nisingeondoka as long as kila nikigombea wananchi bado wanaendelea kunichagua, hii inaonesha kwamba wanaona value yangu kwa chama na wanataka waendelee kuongozwa na mimi.
Bado sanaaa mbowe tupo nae
 
Attachments

  • 5774428-62fa834cf54983ad5e16a524a5cc810.mp4
    653.1 KB
Kwani mwenyekiti si anapatikana kwa kupigiwa kura? Kama ndio Sasa yeye anamakosa gani? Kwa maana kama ni kugombea ni haki ya kila mwanachama na yeye ni mwanachama kwahiyo anagombea ili kutimiza haki yake ya kikatiba ila kinachotokea ni kwamba ninyi wenyewe ndio mnaempa kura zenu zinazomfanya aendelee kuwa pale alipo.

Kwahiyo hizi movement za must go ni zakitoto sana coz hakujiweka mwenyewe na wote tunaamini chadema ni chama kikongwe cha upinzani na ndio chama kinachoamini kwenye uchaguzi wa uhuru na haki so kila kinachotokea kwenye uchaguzi wa chama tunaamini kwa asilimia zote kwamba kimenyooka.

So "Mbowe must go" is a childish movement coz hata ingekua mimi ndio Mbowe wala nisingeondoka as long as kila nikigombea wananchi bado wanaendelea kunichagua, hii inaonesha kwamba wanaona value yangu kwa chama na wanataka waendelee kuongozwa na mimi.
Mbowe must go
 
Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
CCM ina wenywe na Chadema ina wenyewe,Cuf ina wenyewe,ACT ina wenyewe mtu amestaafu lakini yuko kwa mlango wa nyuma, UDP nk ukishindwa anzisha chama chako au hamia vyama vingine. Ya chadema waachie wana chadema na katiba yao. badala ya kusema CCM must go unasema Mbowe must go huna akili, huyo anayehamasisha ana agenda ya siri kipindi hiki nyeti cha uchaguzi. Achaneni naye.
 
CCM ina wenywe na Chadema ina wenyewe,Cuf ina wenyewe,ukishindwa anzisha chama chako au hamia vyama vingine. ya chadema waachie wana chadema na katiba yao. badala ya kusema CCM must go unasema Mbowe must go huna akili, huyo anayehamasisha ana agenda ya siri kipindi hiki nyeti cha uchaguzi.
Mbowe must go
 
Back
Top Bottom