Mbowe must go, hatukutaki!

Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Kama ambavyo na ccm ina mwenyewe.Kama wewe uligombea ubunge ukapata kura moja maana yake wenye chama hakukutaka.
 
 
Siyo kweli
Kuna chama gani cha siasa kimebaki licha ya majaribio mengi na nguvu nyingi za serikali kuuwa wapinzani isipokuwa Chadema? Kiongozi wa chama gani cha upinzani anayesikika aliyebaki kama sio Mbowe?
 
Mbogamboga ndo nani?! J.K au? 😂😂😂
 
Mnatia huzuni kubwa, mbona Mbowe anawatesa sana, hivi huyu mtu ana nini na chama chenu. Ni dhahiri ninyi ni dhaifu sana mbele ya mwamba Mbowe.
 
Kwahy mpaka leo hii bado tuu hamjawatengeneza watu wngn wenye uwezo wa kuongoza chama?
 
Kuna chama gani cha siasa kimebaki licha ya majaribio mengi na nguvu nyingi za serikali kuuwa wapinzani isipokuwa Chadema? Kiongozi wa chama gani cha upinzani anayesikika aliyebaki kama sio Mbowe?
Mbowe wavushe tena, Chadema mnasemaje? nani mwenye kukwepa Ma B ya CCM hata kama ni mimi siwezi nikiambiwa nisambaratishe Chama. Mbowe umejitahidi ila wavushe 2025 halafu jiuzuru.
 
Hatari yani, mambo yameanza mapema na watu wanaingia kwenye mtego.
 
Lucas Mwashambwa must Go!
 
Cha kushangaza wanaoumia wengi ni fisiemu kwani hawana pa kwenda. Kama wewe ni Cdm na haumtaki Mbowe sepa kwa fisiemu
Waseme wanachadema wenyewe halafu uisingizie CCM?

Mbowe must Go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…