Mbowe must go, hatukutaki!

Mbowe must go, hatukutaki!

Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Kama ambavyo na ccm ina mwenyewe.Kama wewe uligombea ubunge ukapata kura moja maana yake wenye chama hakukutaka.
 
Mbowe must go.

Umeme ghali,unakatika katika Mbowe ni sababu.Mbowe must go.

Msafara wa Bi Tozo magari ya kufahari V8 147.Mbowe ndiye mnunuzi mkuu wa magari ya serekali [ Procurement Commissioner].Mbowe must go.

Ukosefu wa ajira,vijana wetu wamemaliza vyuo vikuu Medical Doctors, Nurses,Accountants,Marketing consultants,Financial consultants,Logistics management consultants......... wote hawana ajira tatizo ni Mbowe.Mbowe must go.


Reports mbaya za matumizi mabaya ya walipa kodi yamebainishwa na ofisi ya CAG hakuna aliyefungwa,hakuna aliyeshtakiwa,hakuna hatua za maana za kinidhamu zilizochukuliwa.Ukienda mbali Mbowe ndiye mtetezi mkuu wa wabadhirifu wa mali ya umma.Mbowe must go.

Mbowe kauza Ngorongoro,Kilimanjaro International Airport,Bandari,Misitu.........Mbowe must go.

Mbowe katuletea tozo za miamala ya simu,bill za Tanesco.....Mbowe must go.

Hali ya uchumi ni mbaya fedha za kigeni ni haba usd hazionekani mitaani.Usd zote Mbowe kazificha huko kwao Machame.Mbowe must go.

Maendeleo hakuna kwasababu ya Mbowe.Mbowe must go.

Aliyetuloga Watanganyika kazikwa wapi,tumfukue labda ataturejeshea akili na maarifa.
 
Siyo kweli
Kuna chama gani cha siasa kimebaki licha ya majaribio mengi na nguvu nyingi za serikali kuuwa wapinzani isipokuwa Chadema? Kiongozi wa chama gani cha upinzani anayesikika aliyebaki kama sio Mbowe?
 
Kama CCM, imekuwepo zaidi ya Mika 60 Toka TANU-CCM, wizi ufisadi, na mambo mengi hovyo, Leo mnahangaika na CHADEMA na Umwenyeki wa Mbowe.

Mbowe kamanda wa kikosi Cha anga ,Bado yupo sana, CHADEMA ipo sana, JIWE kambale alishindwa kuimaliza, KIZIMKAZI na MBOGAMBOGA wote hakuna wa kumuondoa Mbowe,.

Kazi mnayo sana 2025 .
Mbogamboga ndo nani?! J.K au? 😂😂😂
 
Mnatia huzuni kubwa, mbona Mbowe anawatesa sana, hivi huyu mtu ana nini na chama chenu. Ni dhahiri ninyi ni dhaifu sana mbele ya mwamba Mbowe.
 
Wala hata haina logic kwani kuwa kiongozi wa upinzani kwenye nchi za kiafrica ni kujitoa mhanga, na mbowe anawasumbua kwa vile hiki chama amekitoa mbali hadi kufikia hapa, mnataka watu kama kina Msigwa, kitila mkumbo ndio wangekuwa mwenyekiti?!! Hahaaa kamanda bado yuoi sanaaa
Kwahy mpaka leo hii bado tuu hamjawatengeneza watu wngn wenye uwezo wa kuongoza chama?
 
Kuna chama gani cha siasa kimebaki licha ya majaribio mengi na nguvu nyingi za serikali kuuwa wapinzani isipokuwa Chadema? Kiongozi wa chama gani cha upinzani anayesikika aliyebaki kama sio Mbowe?
Mbowe wavushe tena, Chadema mnasemaje? nani mwenye kukwepa Ma B ya CCM hata kama ni mimi siwezi nikiambiwa nisambaratishe Chama. Mbowe umejitahidi ila wavushe 2025 halafu jiuzuru.
 
Na hasa ikizingatiwa kuwa wote wanaopiga kelele za Mbowe must go ni maccm kwa ushahidi wa hawa wa hapa JF,Mbowe akiondoka ina maana anatii shinikizo la maccm ambao ni maadui namba moja wa Chadema. Mimi ni mwanachama hai wa Chadema na ningependa tuwe na mwenyekiti mpya lakini kwa shinikizo hili la wanaccm nasema Mbowe aendelee at least hadi baada ya uchaguzi mkuu wa 2025 ndiyo aitishe uchaguzi. Haiingii akilini CCM ndiyo watushinikize jinsi ya kuendesha chama chetu. Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti hajavunja Katiba. CCM mkome kabisa kuingilia mambo ya ndani ya Chadema.
Hata huyo mbilikimo wenu aliyekuwa houseboy wa mzungu anayeendelea kumtukana mwenyekiti wetu anafanya kosa la jinai na uchochezi kuingilia mambo ya ndani ya Chadema. Muonyeni kabisa Msigwa azungumzie mambo ya CCM akome kabisa kumtukana mwenyekiti wetu. Inaoneka CCM kimekuwa kigenge cha wahuni kumuandalia Msigwa mikutano na kusomba watu waje wamsikilize anavyoitukana Chadema badala ya kueneza sera za CCM.
Hatari yani, mambo yameanza mapema na watu wanaingia kwenye mtego.
 
Nilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.

Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.

Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.

#MboweMustGo
Lucas Mwashambwa must Go!
 
Back
Top Bottom