Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.
Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo chochote cha kumtaka Mbowe aachie ngazi hususani kipindi hiki cha uhasama wa akina Msigwa na CCM ni cha kuangalia kwa jicho pevu kwa vile hii ni mbinu inayoweza kutumika na maadui na wahasimu wake wa kisiasa kumwondoa kwa nguvu na kwa vyovyote vile haitakiacha chama salama.
Katiba ya Chama ipo,taratibu zipo, sasa hiyo movement ya Mbowe must go kwa sasa ina kusudio gani? hapa lazima kufanya utafiti na kukusanya taarifa za kiintelejensia madhara na faida zake ni zipi vinginevyo wote wanashinikiza hilo wamekula fedha za upande wa pili. Ni kazi ya deep state.
Dr Slaa ni mtu makini ni vugumu kumburuta kama wanavyotaka hao wanafiki.Acheni utaratibu wa utawala bora ufanye kazi. kwa nini isiwe kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye ana uwajibikaji wa kinchi, kwa nini siyo Lipumba wa CUF,CHAUMA,UDP nk kama tuko serious kweli. kuna viongozi wanazungumzia kushinda kwa kuiba kura. vipi hao, Sauti ya Watanzania isitumike kulinda upande wa pili. Picha tunaanza kuipata vizuri jinsi tunaposogea uchaguzi. Tafakuri makini kwa hili