Ni Kipindi hiki Chama pekee Cha upinzani kimekaa kwenye upinzani muda mrefu amgalau kuihangaisha CCM kama chama kikuu cha upinzani ni kipindi hiki cha Mbowe. CCM ingetamani aondoke kwenye uenyekiti. akina Lipumba, nk NCCR walichemsha mapema tu. Si jambo Rahisi sana kupambana na CCM kurupukeni kumwondoa Mbowe muone,kuna mtu akipigwa 5bn kwishney. Chama kinandondoka mazima. Wangapi wamepigwa pesa na vyeo wakaondoka Chadema zaidi ya viongozi na wabunge 50 kuanzia mageuzi ya kisiasa yaanze na wamepewa nyadhifa mbalimbali huko za ukatibu mkuu na u DC wengine walikuwa wabunge i.e Mkumbo, Gekul, Waitara, jualikali, Nasari, Silinde,Sasa hivi covid 19, upendo Peneza,wakili Msendo na hivyo tunashuhudia CCM-CHADEMA Leadership syndrome ndani ya CCM Original au unaweza kusema Chadema ndani ya ccm( Human resource ya CDM inaenda kiumarisha huko against Chama chao)Hizi ndizo dynamics zenyewe za siasa ukienda vibaya na mitego unapigwa ngwala brother