Pre GE2025 'Mbowe Must go inalenga kuyumbisha CHADEMA, kuweni Macho wamachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe haendi kokote ,mpaka pale wanachama wakiamua period , hakuna sababu ya kuwashwa na chadema ,chama kipo na taratibu zake ,leo nitaanzaje sema mwenyekiti ccm must go wakati ,hata wengine hatujui taratibu za chama husika
 
Ukweli ni kuwa CCM wanaojielewa hawataki kabisa Mbowe kung'atuka. Upinzani chini ya Mbowe umekuwa mdebwedo sana.
 
Wahuni hao ,Mbowe haondoki mbwai mbwai,uzuri lile javari sana katika ulingo wa kisiasa za tz period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…