Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Hayo maelfu yajiunge na ccm kwani kuna hasara? Au ccm imetosheka na idadi ya wanachama. Piganieni masirahi ya ujana wenu kutoka serikalini siyo vyama vya siasa.Siku Mbowe ameondoka uenyekiti kuna maelfu watamiminika kujiunga Chadema.
Hivi katiba mpya ni kwaajili ya Mbowe na CDM !.Kukubali kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya,kumeiondolea heshima chadema kama chama cha siasa na kuwa wachumia tumbo!!!
Ni wa kuwapuuza hao!!
Hakuna hicho kituKipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.
Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo chochote cha kumtaka Mbowe aachie ngazi hususani kipindi hiki cha uhasama wa akina Msigwa na CCM ni cha kuangalia kwa jicho pevu kwa vile hii ni mbinu inayoweza kutumika na maadui na wahasimu wake wa kisiasa kumwondoa kwa nguvu na kwa vyovyote vile haitakiacha chama salama.
Katiba ya Chama ipo,taratibu zipo, sasa hiyo movement ya Mbowe must go kwa sasa ina kusudio gani? hapa lazima kufanya utafiti na kukusanya taarifa za kiintelejensia madhara na faida zake ni zipi vinginevyo wote wanashinikiza hilo wamekula fedha za upande wa pili. Ni kazi ya deep state.
Dr Slaa ni mtu makini ni vugumu kumburuta kama wanavyotaka hao wanafiki.Acheni utaratibu wa utawala bora ufanye kazi. kwa nini isiwe kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye ana uwajibikaji wa kinchi, kwa nini siyo Lipumba wa CUF,CHAUMA,UDP nk kama tuko serious kweli. kuna viongozi wanazungumzia kushinda kwa kuiba kura. vipi hao, Sauti ya Watanzania isitumike kulinda upande wa pili. Picha tunaanza kuipata vizuri jinsi tunaposogea uchaguzi. Tafakuri makini kwa hili
Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.
Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo chochote cha kumtaka Mbowe aachie ngazi hususani kipindi hiki cha uhasama wa akina Msigwa na CCM ni cha kuangalia kwa jicho pevu kwa vile hii ni mbinu inayoweza kutumika na maadui na wahasimu wake wa kisiasa kumwondoa kwa nguvu na kwa vyovyote vile haitakiacha chama salama.
Katiba ya Chama ipo,taratibu zipo, sasa hiyo movement ya Mbowe must go kwa sasa ina kusudio gani? hapa lazima kufanya utafiti na kukusanya taarifa za kiintelejensia madhara na faida zake ni zipi vinginevyo wote wanashinikiza hilo wamekula fedha za upande wa pili. Ni kazi ya deep state.
Dr Slaa ni mtu makini ni vugumu kumburuta kama wanavyotaka hao wanafiki.Acheni utaratibu wa utawala bora ufanye kazi. kwa nini isiwe kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye ana uwajibikaji wa kinchi, kwa nini siyo Lipumba wa CUF,CHAUMA,UDP nk kama tuko serious kweli. kuna viongozi wanazungumzia kushinda kwa kuiba kura. vipi hao, Sauti ya Watanzania isitumike kulinda upande wa pili. Picha tunaanza kuipata vizuri jinsi tunaposogea uchaguzi. Tafakuri makini kwa hili
Sawasawa mkuu.Mimi mwenyewe ndiyo sikuelewi kabisa.Hivi ulikuwa unaandika kuhusu nini vile?Naamini nimezeeka.Sorry.Nilichanganya uzi wako na vitu fulani tunafanya hapa kilabuni.Wewe endelea na yako usinijali aisee!
Nimeskia analeta fitina ili watu wagome kuchukua fom za kugombea uwenyekiti wa chadema Taifa😂 😂 😂
CCM bhana wamekuwa wachovu sana kifikra sasa Mbowe anawahusu nini? Na chini ya Mbowe Chama kimeendelea kuiva na kukomaa, licha ya figisu zote zile za kina Sumaye kutaka kugombea nafasi ya Uenyekiti ili wakidhoofishe na kukiua Chama zimeshindwa. Kuna mambo mengi ya kushughulika nayo sio Uenyekiti wa Mbowe tu.
Nipe source ya hiyo tetesiNimeskia analeta fitina ili watu wagome kuchukua fom za kugombea uwenyekiti wa chadema Taifa
Ni Kipindi hiki Chama pekee Cha upinzani kimekaa kwenye upinzani muda mrefu amgalau kuihangaisha CCM kama chama kikuu cha upinzani ni kipindi hiki cha Mbowe. CCM ingetamani aondoke kwenye uenyekiti. akina Lipumba, nk NCCR walichemsha mapema tu. Si jambo Rahisi sana kupambana na CCM kurupukeni kumwondoa Mbowe muone,kuna mtu akipigwa 5bn kwishney. Chama kinandondoka mazima. Wangapi wamepigwa pesa na vyeo wakaondoka Chadema zaidi ya viongozi na wabunge 50 kuanzia mageuzi ya kisiasa yaanze na wamepewa nyadhifa mbalimbali huko za ukatibu mkuu na u DC wengine walikuwa wabunge i.e Mkumbo, Gekul, Waitara, jualikali, Nasari, Silinde,Sasa hivi covid 19, upendo Peneza,wakili Msendo na hivyo tunashuhudia CCM-CHADEMA Leadership syndrome ndani ya CCM Original au unaweza kusema Chadema ndani ya ccm( Human resource ya CDM inaenda kiumarisha huko against Chama chao)Hizi ndizo dynamics zenyewe za siasa ukienda vibaya na mitego unapigwa ngwala brotherUkweli ni kuwa CCM wanaojielewa hawataki kabisa Mbowe kung'atuka. Upinzani chini ya Mbowe umekuwa mdebwedo sana.
Hata ukiangalia utaona wengi hukihama chadema unapokaribia uchaguzi wa Mwenyekiti, anyway ngoja nitulieNipe source ya hiyo tetesi
kama ni kuondoka aondoke 2026 baada ya uchaguziUlimshikia sahani wakati anakula huo ujingaujinga unaoukazania?
Hivi kuna mtu anapigiwa chapuo nafasi ya Mbowe.Mbowe haendi kokote ,mpaka pale wanachama wakiamua period , hakuna sababu ya kuwashwa na chadema ,chama kipo na taratibu zake ,leo nitaanzaje sema mwenyekiti ccm must go wakati ,hata wengine hatujui taratibu za chama husika
Tuseme ukweli. Waliofanya hadi CDM iwahangaishe CCM ni wakina Slaa, Lissu, Zitto, Mdee, Msigwa, Heche(Bado yupo) na wengine wengi waliotoka. Hawa walimzidi mbali sana mwenyekiti kwa impact dhidi ya CCM. Walikuwa wazuri kujenga hoja kuliko mwenyekiti. Bado CDM ndiyo chama kikuu cha upinzani lakini hakina tena nguvu iliyokuwa nayo kipindi cha majembe hayo. Ukichunguza utaona CCM wanafaidika sana na uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti, wameishamsoma, wanammudu.Ni Kipindi hiki Chama pekee Cha upinzani kimekaa kwenye upinzani muda mrefu amgalau kuihangaisha CCM kama chama kikuu cha upinzani ni kipindi hiki cha Mbowe. CCM ingetamani aondoke kwenye uenyekiti. akina Lipumba, nk NCCR walichemsha mapema tu. Si jambo Rahisi sana kupambana na CCM kurupukeni kumwondoa Mbowe muone,kuna mtu akipigwa 5bn kwishney. Chama kinandondoka mazima. Wangapi wamepigwa pesa na vyeo wakaondoka Chadema zaidi ya viongozi na wabunge 50 kuanzia mageuzi ya kisiasa yaanze na wamepewa nyadhifa mbalimbali huko za ukatibu mkuu na u DC wengine walikuwa wabunge i.e Mkumbo, Gekul, Waitara, jualikali, Nasari, Silinde,Sasa hivi covid 19, upendo Peneza,wakili Msendo na hivyo tunashuhudia CCM-CHADEMA Leadership syndrome ndani ya CCM Original au unaweza kusema Chadema ndani ya ccm( Human resource ya CDM inaenda kiumarisha huko against Chama chao)Hizi ndizo dynamics zenyewe za siasa ukienda vibaya na mitego unapigwa ngwala brother
Bwanae Mbowe hahitajiki Tena, ni yeye aliyesema angeachia ngazi 2023, Sasa tatizo ni nini??Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.
Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo chochote cha kumtaka Mbowe aachie ngazi hususani kipindi hiki cha uhasama wa akina Msigwa na CCM ni cha kuangalia kwa jicho pevu kwa vile hii ni mbinu inayoweza kutumika na maadui na wahasimu wake wa kisiasa kumwondoa kwa nguvu na kwa vyovyote vile haitakiacha chama salama.
Katiba ya Chama ipo,taratibu zipo, sasa hiyo movement ya Mbowe must go kwa sasa ina kusudio gani? hapa lazima kufanya utafiti na kukusanya taarifa za kiintelejensia madhara na faida zake ni zipi vinginevyo wote wanashinikiza hilo wamekula fedha za upande wa pili. Ni kazi ya deep state.
Dr Slaa ni mtu makini ni vugumu kumburuta kama wanavyotaka hao wanafiki.Acheni utaratibu wa utawala bora ufanye kazi. kwa nini isiwe kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye ana uwajibikaji wa kinchi, kwa nini siyo Lipumba wa CUF,CHAUMA,UDP nk kama tuko serious kweli. kuna viongozi wanazungumzia kushinda kwa kuiba kura. vipi hao, Sauti ya Watanzania isitumike kulinda upande wa pili. Picha tunaanza kuipata vizuri jinsi tunaposogea uchaguzi. Tafakuri makini kwa hili
Kujua tofauti tu ya M7 na Mbowe umeshindwa, lakini unakaza fuvu kuwa Mbowe must go. Wanaowalipa ndiyo wajinga kuliko hata nyie. Wawe hata wanawapa elimu kidogoUmetumwa na Mbowe umtete
Mbowe must GO, yupo Upinzani tu hatak kuachia madaraka anawafata akina m7.
Umechagua kutumia mfano mbaya huu, wa Dr Slaa kujengea hoja ambayo ni hoja nzito. 'Credibility' ya William Slaa ilivurugika alipo kubali kukivuruga chama chake mwenyewe na kwenda kuungana na mahasimu wa chama hicho.Dr Slaa ni mtu makini ni vugumu kumburuta kama wanavyotaka hao wanafiki
Hatuafiki mtu kukaa sana madarakani kama ilivyo hatuafiki chama Fulani kukaa sana madarakaniKipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.