Akakae ACT kuna mfaa sanaHalima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
RubbishHuyu ni mtu aliye kubuhu kwa kutumia wenzake kama misukuke. Ndio maana ya hii kauli ya kuonesha kuumia kwamba ilifika mahali Halima Mdee alijiongeza akasema hunitumii tena. Fikiri Lissu yuko Ubeligiji kama mkimbizi huku kesha anza safari za Ikulu.
Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
Tunaongelea ukuzi wa kitaaluma- wewe mtu akishinda bahati nasibu unamuona ni mfanyabishara mzuri siyo kwa akili yako- mkuu nenda hatua kidogo juu ya mfumo wako wa fahamu...mlinganishe halima mdee na wenzake waliohitimu mwaka mmoja kitivo cha sheria udsm.
..hudhani kwamba halima ame-achieve zaidi kisiasa na kijamii kulinganisha na wahitimu wenzake?
..waliomharibia halima career yake sio chadema, bali ni hao waliomrubuni kwenda bungeni kwa kugushi.
Mkuu agiza K vant mshahara ukitoka ulipieHapa Tanzania kuna wanasiasa wameamua kuifanya siasa kuwa ni career ni makosa makubwa.
Siasa ni mbinu tu za ushawishi wa sera.
Ila kuna watu wanafanya kama ajira ya kudumu ndio maana tunapata misemo mbali mbali kama chawa na wengineo.
Tunaongelea ukuzi wa kitaaluma- wewe mtu akishinda bahati nasibu unamuona ni mfanyabishara mzuri siyo kwa akili yako- mkuu nenda hatua kidogo juu ya mfumo wako wa fahamu.
Kama kuna mtu alimaliza na Mdee na leo ni wakili yuko bora zaidi ya Halima
Mkuu rudisha akili zako kutoka kwa uliyemkopesha azitumie. Hivi kwa akili yako Ubunge ni taaluma? K-BET ni taaluma? Hapa tunaongelea taaluma- hivi leo Mdee anaweza kuomba ajira wapi? na siyo hao hata Mbowe mwenyewe? Hongera kwa kuwa muwakilishi wa kizazi cha hovyo..amefanikiwa kiasi gani kama wakili, na uwakili wake una impact kiasi gani ktk jamii?
Kaka, kwani we ndo Halima ?Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
babako alivyokuwa anawatumia akina sabaya kuteka, kutesa, kuua na kubaka wake za watu hiyo haukuwa umsukule?Huyu ni mtu aliye kubuhu kwa kutumia wenzake kama misukuke. Ndio maana ya hii kauli ya kuonesha kuumia kwamba ilifika mahali Halima Mdee alijiongeza akasema hunitumii tena. Fikiri Lissu yuko Ubeligiji kama mkimbizi huku kesha anza safari za Ikulu.
Huyu ni mtu anayechukiwa mno mno kwa sababu ya misimamo yakeHuyu ni mtu aliye kubuhu kwa kutumia wenzake kama misukuke. Ndio maana ya hii kauli ya kuonesha kuumia kwamba ilifika mahali Halima Mdee alijiongeza akasema hunitumii tena. Fikiri Lissu yuko Ubeligiji kama mkimbizi huku kesha anza safari za Ikulu.
Mkuu rudisha akili zako kutoka kwa uliyemkopesha azitumie. Hivi kwa akili yako Ubunge ni taaluma? K-BET ni taaluma? Hapa tunaongelea taaluma- hivi leo Mdee anaweza kuomba ajira wapi? na siyo hao hata Mbowe mwenyewe? Hongera kwa kuwa muwakilishi wa kizazi cha hovyo
Upuuzi wenu CCM.Huyu ni mtu aliye kubuhu kwa kutumia wenzake kama misukuke. Ndio maana ya hii kauli ya kuonesha kuumia kwamba ilifika mahali Halima Mdee alijiongeza akasema hunitumii tena. Fikiri Lissu yuko Ubeligiji kama mkimbizi huku kesha anza safari za Ikulu.
Huyu ni mtu anayechukiwa mno mno kwa sababu ya misimamo yake
Hua hayumbi na hanunuliki
Misimamo iliyofeli kwa kupokea akina Lowassa na Nyalandu waliyokuwa wakihubiriwa kuwa MAJIZI na MAFISADI...Huyu ni mtu anayechukiwa mno mno kwa sababu ya misimamo yake
Hua hayumbi na hanunuliki
Umeshakula au umeliwa?Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”