Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
  • David Kafulila, RC
  • Mwita Waitara, N/Waziri
  • Joshua Nassari, DC
  • Fakii Lulandala, DC
  • Albert Msando, DC
  • David Silinde, N/Waziri,
  • Vincent Mashinji, DC
  • Mwambe, MB
  • P. Gekuli, N/Waziri
  • Shonza, MB
  • Katambi, N/Waziri
  • LijuaLikali, DC
  • Kitila Mkumbo /Waziri
Nadhani ni sahihi kusema pia Mbowe AHESHIMIWE.

Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?

202456603_3548242365276472_2072806092831462646_n.jpg

202131465_2139154919559321_4398158902708802488_n.jpg
 
Nyie cdm mna roho ya ubaguzi Sana,nawazia hicho kizazi kitakachokuwa chini ya dola ya cdm itakuwaje.
 
Ukizaa watoto wote wa kike vyovyote utakavyowasomesha na kuwagharamikia uje sio wako utajikuta siku uko peke wewe na mzazi mwenzio hayo ndo haya
 
Marekani ina mtindo wa kuwafunza na kuwafadhili watu mbali mbali duniani, ili baadae ije kuwatumia kama uchochoro wa kufanikisha malengo yake. Mbowe nae amefanya hivi kwa masilahi ya waliomtuma ambao ni CCM na mamlaka. Mbowe ni mtu wao aliepandikizwa upinzani ili kuhadaa ulimwengu kwamba Tanzania kuna upinzani. Mpinzani wa kweli alikuwa mch Mtikila tu na ndio maana mpk leo kifo chake kina utata.
 
Marekani ina mtindo wa kuwafunza na kuwafadhili watu mbali mbali duniani, ili baadae ije kuwatumia kama uchochoro wa kufanikisha malengo yake. Mbowe nae amefanya hivi kwa masilahi ya waliomtuma ambao ni CCM na mamlaka kwa vile ni mtu wao aliepandikizwa upinzani. Mpinzani wa kweli alikuwa mch Mtikila tu na ndio maana mpk leo kifo chake kina utata.
Kifo cha Mch. Mtikila kina utata gani? Mtikila kauliwa,full stop.
 
Kifo cha Mch. Mtikila kina utata gani? Mtikila kauliwa,full stop.
Ndio maana nikasema kwamba Mtikila ndio alikuwa mpinzani wa kweli kutokana na misimamo yake isiyoyumbishwa, na aina ya mazingira ya kifo chake. Mfano Mtikila angekuwa mwenyekiti wa chadema mwaka 2015 Lowasa asingepenya hata nafasi ya kugombea ubunge wa chadema.
 
Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
  • David Kafulila, RC
  • Mwita Waitara, N/Waziri
  • Joshua Nassari, DC
  • Fakii Lulandala, DC
  • Albert Msando, DC
  • David Silinde, N/Waziri,
  • Vincent Mashinji, DC
  • Mwambe, MB
  • P. Gekuli, N/Waziri
  • Shonza, MB
  • Katambi, N/Waziri
  • LijuaLikali, DC
  • Kitila Mkumbo /Waziri
Nadhani ni sahihi kusema pia Mbowe AHESHIMIWE.

Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?

View attachment 1826599
View attachment 1826600
Kumbe Katambi ni Naibu Waziri.... Kweli Tanzania kazi bado tunayo....!!
 
Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
  • David Kafulila, RC
  • Mwita Waitara, N/Waziri
  • Joshua Nassari, DC
  • Fakii Lulandala, DC
  • Albert Msando, DC
  • David Silinde, N/Waziri,
  • Vincent Mashinji, DC
  • Mwambe, MB
  • P. Gekuli, N/Waziri
  • Shonza, MB
  • Katambi, N/Waziri
  • LijuaLikali, DC
  • Kitila Mkumbo /Waziri
Nadhani ni sahihi kusema pia Mbowe AHESHIMIWE.

Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?

View attachment 1826599
View attachment 1826600
Mbowe ni chuo cha uongozi cha Taifa
 
Back
Top Bottom