Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa!
  • David Kafulila, RC
  • Mwita Waitara, N/Waziri
  • Joshua Nassari, DC
  • Fakii Lulandala, DC
  • Albert Msando, DC
  • David Silinde, N/Waziri,
  • Vincent Mashinji, DC
  • Mwambe, MB
  • P. Gekuli, N/Waziri
  • Shonza, MB
  • Katambi, N/Waziri
  • LijuaLikali, DC
  • Kitila Mkumbo /Waziri
Nadhani ni sahihi kusema pia Mbowe AHESHIMIWE.

Swali ni je, Mbowe ni nani katika Siasa za Tanzania?

View attachment 1826599
View attachment 1826600
Chadema yajenga nchi!
 
KWA NINI WANAMKIMBIA KAMA NIMWALIMU MZURIIIII??? ACHENI WIVUUU. TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WOTEE

Hata yule Katambi afisa kipenyo alikuwa mwanafunzi wa Mbowe?

Hiyo ilikuwa baada au kabla ya kuwa afisa kipenyo?
 
Umeona paliposemekana wasichape kazi?
Ilanimeona panapo onesha kuwashwa washwa kwa ufipa yote baaada ya mh raisi kuwapakazi watanzania wenye weredii mkubwa ili wawatumikie watanzania wenzao kwa maendeleo ya taifa zima na we we ukiwemo.
 
Ilanimeona panapo onesha kuwashwa washwa kwa ufipa yote baaada ya mh raisi kuwapakazi watanzania wenye weredii mkubwa ili wawatumikie watanzania wenzao kwa maendeleo ya taifa zima na we we ukiwemo.

Itakuwa wasiwasi wako tu mkuu. Ukipenda mwulize hata yule mzee wa ku substantiate kule bungeni kama ufipa hata wana pressure naye.
 
KWA NINI WANAMKIMBIA KAMA NIMWALIMU MZURIIIII??? ACHENI WIVUUU. TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WOTEE
Wewe endelea kupambana hapa jf tu

FB_IMG_1575390800494.jpg
 
Kama ilivyokawaida ya ccm kuona dhahabu ilipo kutoka kwenye chuo kikuu cha wapishi wa viongozi Chadema wanasubiria hao vijana waive na kugraduate waje wawanunue kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo karibuni Mbowe Prof wa siasa anawapikia watu wenye kueleweka sio kina SABAYA
 
Kwa mantiki hiyo, nashauri jina la chama libadilishwe rasmi liwe ^Chama cha Demonstresheni ya Mapishi^ -- CHADEMA.
 
Kama ilivyokawaida ya ccm kuona dhahabu ilipo kutoka kwenye chuo kikuu cha wapishi wa viongozi Chadema wanasubiria hao vijana waive na kugraduate waje wawanunue kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo karibuni Mbowe Prof wa siasa anawapikia watu wenye kueleweka sio kina SABAYA

Prof wa siasa zipi? iweje awaandale wapinzani wake viongozi? Kama ni hivyo ina maana hatuna upinzani wa kweli. Sema hao vijana wenyewe si waaminifu kwa chama chao
 
Back
Top Bottom