Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

Kwenye hiyo picha wakina Mdee wataongezeka hapo, just a matter of time.
 
Chadema tumetoa
Mawaziri na naibu waziri watano
RC mmoja
DC watano
Wabunge kede kede.
CCM wakitaka viongozi waliofundwa huwa Wana poach Chadema na hakuna aliyetokea Chadema amewaangusha.
 
Mbowe baba yake kisiasa ni nan???
 
Chadema tumetoa
Mawaziri na naibu waziri watano
RC mmoja
DC watano
Wabunge kede kede.
CCM wakitaka viongozi waliofundwa huwa Wana poach Chadema na hakuna aliyetokea Chadema amewaangusha.
Ukiyaangalia mambo kwa namna hiyo kuna uwezekano mkubwa ukashtukia kuwa sidiem imeanzishwa na sisiem
 
Ieleweke kwamba Kuna watu tumewatuma wajifanye wamehama Chadema ili waweze kwenda kupeleleza CCM na serikalini.
Wengine Ni mabalozi nchi za nje, mawaziri, wakuu wa wilaya n.k
 
KWA NINI WANAMKIMBIA KAMA NIMWALIMU MZURIIIII??? ACHENI WIVUUU. TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WOTEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…