Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

Prof wa siasa zipi? iweje awaandale wapinzani wake viongozi? Kama ni hivyo ina maana hatuna upinzani wa kweli. Sema hao vijana wenyewe si waaminifu kwa chama chao
Upinzani upo sasa Kama chama tawala hakiwezi kutumia vijana wake ambao ndio wenye tabia za kina sabaya inabidi wanunue VIJANA wazuri walioivishwa na mwamba mbowe nae hana uwezo wa kuwazuia wanatafuta maslahi
 
Nitawakabili nyie mnaowashwa washwa juu ya kazi nzuri za taifa letu mpaka mkimbie mitandaoniii. Kama ni cheo mimi ninacho kikubwa tu kwenye kundi lenu.
Jiwe alitukabili kwa utekaji na bunduki na hatukutetereka hadi akatwaliwa , ndio ututishe wewe kapuku ?
 
Nyumbu pekee wataendelea kubaki kwenye hiyo saccos ya Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…