Hao wananchi wanaotaka maisha mazuri chini ya chama kilekile, mifumo ileile na katiba hii mbovu ya mwaka 1977 watasubiri sana tu. Nawaonea huruma Watanzania wenzangu ndio kwanza bei ya mafuta imepanda hadi 2500.Ma
Matapeli ndo yanataka katiba mpya kwa nguvu,
Wananchi wanataka maisha yao yawe vizuri tu, hayo mambo y katiba hayawahusu.
Kwani nao wanataka vyeo?
Sasa ndy yangu uislam hapo umeingiaje jibu kwa hoja sio kuingiza vitu ambavyo havihusianiKwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu
Mzee wangu Mohamed Said sisi watanzania tunataka katiba moya“Mnasema nimeanza vizuri naomba nipeni muda nisimamishe Nchi kiuchumi, tuite Wawekezaji uchumi upande, halafu tutazungumzia mengine, tutazungumzia Katiba Mpya, mikutano ya hadhara n.k, kwa sasa mikutano ipo ya ndani na Wabunge kwenye Majimbo yao pia wanafanya”——Rais Samia
Hamtaki mnalazimisha afuate anachosema Mbowe, kwa akili za kawaida rais afuate amri ya Mbowe kweli badala afuate wanachotaka watanzania.