Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage

Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na Kikwete nao hawawezi kukubali muda wao umepita



1754571275707.png
 
Halaiki na mashabiki uking'ang'ania kubaki stejini wanakupigia makofi mengi si kwamba wanakupenda ila wanataka umalize haraka uondoke stejini.
 
Papa Wemba Alicia stejini na yaliyo mfika Maestro Luombo stejini siku yake ya mwisho duniani sio siri itakuwa Mzoga na Bilcanas?
 
Elvis presley.. vibao vya huyu mwamba vilitamba sana miaka ya 1970s
 
Back
Top Bottom