Copy & Paste from Twitter.
MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO
SIFA ZA MBOWE
1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii.
2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu
3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala.
4. Anajua kuzisaka Pesa ili chama kisonge mbele , Chama kuna muda kilikaa bila Ruzuku kwa miaka kadhaa Lakin shughuli zilikiwa zinasonga tu!
5. Ana uwezo wa kutokea peke yake kwa maslahi ya Wanamchi hata kama anakoenda ni Hatari
6. Anazijua siasa za Tanzania za awamu zote kuanzia Nyerere, Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia.
7. Pamoja na misukosuko ameweza kujenga chama kikawa Imara kwa miaka kadhaa ambayo viongozi wengine wa Upinzani wameshindwa kabisa.
8. Mbowe si mtu wa kulipa visasi wala chuki dhidi ya mtu yeyote!
9. Mbowe alikuwa Tayari atumie Pesa yake ya Mfukoni kulinda heshima ya chama na chama kwa ujumla.
10. Mbowe ni mpinzani pekee alokubali kuharibiwa Mali zake nyingi kwa kukataa kuunga juhudi,
MADHAIFU YA MBOWE
1. Ameshindwa kulea nidhamu ndani ya CHADEMA, hana uwezo wa kukemea maovu
2. Amewaamini Sana wabaya wa chama na wabaya wake binafsi kupitiliza mfano Katambi.
3. Mheshimiwa Mbowe ni mtu anayeamini katika maridhiano hata ambapo si sehemu yake, si wa Umri wa ku risk Tena kwamba liwalo na liwe,
4. Mbowe ana nia njema ila Kuna muda anashindwa Kujua kwamba kwenye nia njema ya kukikopesha chama au kutafta Pesa chama kisife watu wanaaza kutilia mashaka.
5. Suala la Nani apangwe wapi nani awe na jukumu lipi ndani ya CHADEMA chini ya Uongozi wa Mwamba tumepwaya! Majina yanajirudia yale Yale miaka nenda rudi.
6. Ameshindwa kuwadhibiti vijana mitandaoni na wafuasi kadhaa kwamba sawa mnanipenda Ila tumia njia fulan kuwasilisha Hoja fulan.
SIFA ZA LISSU
1. Ni mtu aliyenyooka sana na hana uwezo wa kutunza siri ya maovu yeyote, Kama ni nyeupe ni nyeupe !
2. Ni mkataa Rushwa! Pesa hata kama inatakiwa atibiwe leo
3. Ana msimamo mkali dhidi ya anachokiamini
4. Lissu ni mtu wa kufuata sheria,
5.Lissu Ana ushawishi mkubwa sana kwenye hotuba zake na zimejaa facts.
7. Hana ukanda wala ukabila
8. Lissu anaweza tegemea misaada toka nje ya chama.
10. Uwezo wa Lissu kujieleza kwa Lugha ya Mabeberu ni Mkubwa sana.
11. Lissu anaonekana anaweza changanya Ubepari na Ujamaa
12. Lissu anaweza kushughulikia mafisadi kama Mwenyekiti kwenye chama
13. Uongozi wa Lissu huwezi Ona Mauza uza ya Mara Covid 19 Mara sijui katibu mkuu kasaini Mara hajasaini,
MADHAIFU
1. Ana hulka ya udikteta
2. Lissu ikitokea akapewa chama anaweza kupoteza muda mwingi kwenye kurekebisha mifumo ya sheria
3. Lissu anaweza kuja kuwa Mwenyekiti ambaye hatafuata ushauri wa washauri wake
4. Lissu anaonekana anaweza kuwashughulikia watu kwa hisia tu bila ushahidi wa kutosha
5 Lissu uwa haamini katika falsafa za mwanzilishi wa Taifa yaan Nyerere, Lakin uwa anamtumia kwenye reference
6. Miaka miwili ya mwanzo inaweza kumuwia ngumu kwenye uongozi Kwakuwa hajajua njia ya mwenyekiti aliyeko madarakani anapataje Pesa kuendesha chama!
7. Lissu amekaa ki harakati zaidi