jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.
6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.
Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama
(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za Utendaji za
ngazi husika na Kamati Kuu na Baraza Kuu ngazi ya Taifa, pamoja na vikao vya Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.
(c) Vikao vya utendaji wa shughuli za kila siku za Chama na utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya vikao vya uongozi. Hizi ni Sekretariat na vikao vya uongozi na Kamati za Utendaji za Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.
(d) Vikao vya mashauriano na uratibu katika ngazi za Mkoa na Wilaya
6.3.2 Muda wa Uongozi;
(a) Kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano.
N.B: MUNGU anaendelea kuwaumbua na kuonesha kuwa chama hiki sio kwa maslahi ya umma bali ni kugombea vyeo.