Mbowe na Lissu wamekiuka katiba ya chama chao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.

6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.

Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama

(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za Utendaji za
ngazi husika na Kamati Kuu na Baraza Kuu ngazi ya Taifa, pamoja na vikao vya Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.

(c) Vikao vya utendaji wa shughuli za kila siku za Chama na utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya vikao vya uongozi. Hizi ni Sekretariat na vikao vya uongozi na Kamati za Utendaji za Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.

(d) Vikao vya mashauriano na uratibu katika ngazi za Mkoa na Wilaya

6.3.2 Muda wa Uongozi;
(a) Kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano.

N.B: MUNGU anaendelea kuwaumbua na kuonesha kuwa chama hiki sio kwa maslahi ya umma bali ni kugombea vyeo.
 
Hao wote ni matapeli,sema mmoja Lisu ana kaufadhali.
 
Yaani Una umia na utaratibu wa chama cha wengine duuh unanishangaza apo wewe dili na chama chako
 
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.

6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.

Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama

(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za Utendaji za
ngazi husika na Kamati Kuu na Baraza Kuu ngazi ya Taifa, pamoja na vikao vya Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.

(c) Vikao vya utendaji wa shughuli za kila siku za Chama na utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya vikao vya uongozi. Hizi ni Sekretariat na vikao vya uongozi na Kamati za Utendaji za Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.

(d) Vikao vya mashauriano na uratibu katika ngazi za Mkoa na Wilaya

6.3.2 Muda wa Uongozi;
(a) Kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano.

N.B: MUNGU anaendelea kuwaumbua na kuonesha kuwa chama hiki sio kwa maslahi ya umma bali ni kugombea vyeo.
Mkuu kwa hapo umewaonea😂😂
 
Umezungumzia vikao. Mikutano je? Mkutano na vikao vya uongozi ni vitu viwili tofauti.
 
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.

6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.

Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama

(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za Utendaji za
ngazi husika na Kamati Kuu na Baraza Kuu ngazi ya Taifa, pamoja na vikao vya Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.

(c) Vikao vya utendaji wa shughuli za kila siku za Chama na utekelezaji wa maamuzi na maelekezo ya vikao vya uongozi. Hizi ni Sekretariat na vikao vya uongozi na Kamati za Utendaji za Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa Chama.

(d) Vikao vya mashauriano na uratibu katika ngazi za Mkoa na Wilaya

6.3.2 Muda wa Uongozi;
(a) Kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano.

N.B: MUNGU anaendelea kuwaumbua na kuonesha kuwa chama hiki sio kwa maslahi ya umma bali ni kugombea vyeo.
Hebu tulia ww muumini wa dhalimu magu.
 
Back
Top Bottom