REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Naona wanakuja ooh mbowe alitumia pesa zake mjenga Lisu sasa watuambie kiasi gani tumlipe mboweMbona kudawaiwa msaada teeena
Sio kila kitu unaweza ukabadisha na gharama za fedha. Mbowe alishikilia dripu ya damu kutoka Dodoma hadi Nairobi, haya changisha umlipe!leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Ukute yeye ndio alikuwa sababu ya hiyo damu kutoka.Sio kila kitu unaweza ukabadisha na gharama za fedha. Mbowe alishikilia dripu ya damu kutoka Dodoma hadi Nairobi, haya changisha umlipe!
UKUTE !Ukute yeye ndio alikuwa sababu ya hiyo damu kutoka.
Siyo ukute ndio ukweli huoSio kila kitu unaweza ukabadisha na gharama za fedha. Mbowe alishikilia dripu ya damu kutoka Dodoma hadi Nairobi, haya changisha umlipe!
Sisi tutamshikia mbowe drip ya konyagi kutoka Dar hadi Machame haya sema kingine hiyo tumeshalipaSio kila kitu unaweza ukabadisha na gharama za fedha. Mbowe alishikilia dripu ya damu kutoka Dodoma hadi Nairobi, haya changisha umlipe!
Hizi ndizo hoja za wasiopiga kuraSisi tutamshikia mbowe drip ya konyagi kutoka Dar hadi Machame haya sema kingine hiyo tumeshalipa
Unaweza kulipa muda, hisia na akili zilizotumika kumtengeza na kumbrand mtu?Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Kwamba ile stand ya drip ilikosekana?Sio kila kitu unaweza ukabadisha na gharama za fedha. Mbowe alishikilia dripu ya damu kutoka Dodoma hadi Nairobi, haya changisha umlipe!
Mchangieni kwanza hela alizoomba kununulia gari, halafu ndo uje na upupu wako hapa.Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
MBOWE angekaa kimya tu kama alivyokuwa ameahidi huko nyumaEeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie