MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Nashauri Mbowe na wengine wakae kimya waangalie maisha yao na Familia zao, Watanzania sio watu wa kutetete kamwe, bora kutetea hata wale Mbwa wanao zurura mitaani wasipigwe ila sio kutetea Watanzania.
Huwezi pigania watu wasio jitambua, Watanzania hatuajijitambua na hakuna uwezekano wa kujitambua hivi karibuni, hivyo hawa Wapianzani wanao watetea ni sawa na kupigia Mbuzi gitaaa tu.
Tunapaswa kuachwa tulivyo na wano tutetea wanapoteza nguvu na muda, sisi sio watu wa kupiganiwa kabisa.