Mbowe na Wapinzani wengine walikosea sana, Watanzania sio wakupiganiwa, ni kuwaacha kama walivyo

Mbowe na Wapinzani wengine walikosea sana, Watanzania sio wakupiganiwa, ni kuwaacha kama walivyo

Naunga mkono hii hoja na sio mbowe pekee bali yoyote yule, ni kukaa kimya tuu maana wanapoteza muda bure
 
Mbowe na yeye anatetea biashara zake na maslahi yake

Tokea lini mwenye kushiba akamkumbuka mwenye njaa
acha upupu, Mandela hafanani na yeyote dunia hii? Alipigania tumbo lake, Nyerere hajahi kuteseka kwa ajili ya watu? watu wengine huwa mna matako tu, kichwani ni tope tupu
 
Mbowe na yeye anatetea biashara zake na maslahi yake

Tokea lini mwenye kushiba akamkumbuka mwenye njaa
Huu ni uongo, Mr.Mbowe amekaa jela more than 200days, bila ya kuwa na wapendwa wake,biashara gani za kwake binafsi alikua anapigania?tukubali tuna mazuzu wengi nchi hii,pigana na usitegemee mtu akupiganie
 
Ni mjinga pekee haswa yule alieshikiwa akili na wanasiasa ndio anaweza kuamini kuwa Mbowe na wanasiasa wengine wanapigania masilahi ya watanzania. Ila kwa tunaojitambua tunafahamu fika kuwa hao wanasiasa uchwara uliowataja hapa wote wanapigania matumbo yao na masilahi ya watoto zao. Ndio maana wakishaenda Ikulu kuhakikishiwa kuwa masilahi yao hayatoguswa, hugeuka bubu kuwatetea wengine.
Wewe mjinga unaharisha hapa hata jina lako halisi umeficha acheni upuuzi unawalaumu wapinzani ndio waliokupandishia maisha jinga kabisa
 
acha upupu, Mandela hafanani na yeyote dunia hii? Alipigania tumbo lake, Nyerere hajahi kuteseka kwa ajili ya watu? watu wengine huwa mna matako tu, kichwani ni tope tupu
Utakuwa na umri mdogo, hizo habari za Nyerere umesimuliwa na kaka zako hapo nyumbani.

Utakuwa ni mmojawapo wa hawa millenials watoto waliokuwa shule za msingi mwaka 1999 wakati Mwalimu anafariki.
 
Wewe hata watoto wako huna uwezo wa kuwapigania. Acha waliojaribu kujitoa kwa ajili ya watu wasifiwe. Mtu anaitisha maandamano kudai haki zenu mnajifungia ndani mlataka afanye nini?
Mleta mada uko sahihi, watuache tunyooshwe hatujitàmbui.
Kuitisha maandamano bila muitishaji na familia yake kujiunga na maandamano walioitisha hii haisaidii, na wenye akili hatuwezi kukuita shuja maana tunaahamu kuwa umeitisha hayo maandamano kwa lengo la kututumia kisiasa huku wewe na familia yako mkiwa kideoni mnaangalia watoto wa wenzenu wanavyovunjwa miguu na hawa vijana wa fanya fujo uone. Hii ni sawa na mtu anaejigamba kuwa anajua kupigana, lkn kila unapotokea ugomvi mtaani yeye anajifungia ndani na watoto wake. Kwahiyo mtu wa aina hii wewe utamwitaje shujaa?!!
 
Acha kulialia hapa. Kama kweli unawajali watanzania si uwatetee wewe? Umeambiwa Mbowe kazaliwa ili akutetee wewe huku umekaa nyuma ya keyboard ukivimbisha mtumbo?
Naona umekurupuka kijana. Mwenye kulia mimi au mleta mada? Ivi umesoma vizuri nilichoandika kweli? Na kuna sehem umeona nimesema namtegemea Mbowe aniandamie? Kwa mtu alisoma vizuri kile nilichoandika, bila shaka atakuwa amefahamu kuwa mimi sio mtu wa kumtegemea Mbowe wala mwanasiasa yoyote apigania haki yang. Wanasiasa haswa hawa wa Tanzania wapo katika siasa kwa malengo yao maalum, ndio maana wako radhi kushirikiana na yeyote ilimradi wao mkono uende kinywani.
 
Wewe mjinga unaharisha hapa hata jina lako halisi umeficha acheni upuuzi unawalaumu wapinzani ndio waliokupandishia maisha jinga kabisa
Jina langu linaonesha kwamb mimi siwezi kushikiwa akili na mwanasiasa yoyote kama jinsi wanavyowashikia akili nyinyi mnaowaamini na kuwategemea kwa chochote.
 
acha upupu, Mandela hafanani na yeyote dunia hii? Alipigania tumbo lake, Nyerere hajahi kuteseka kwa ajili ya watu? watu wengine huwa mna matako tu, kichwani ni tope tupu
Hoja hujibiwa kwa Hoja,
Matusi hayawezi kukufanya mshindi
 
Nashauri Mbowe na wengine wakae kimya waangalie maisha yao na Familia zao, Watanzania sio watu wa kutetete kamwe, bora kutetea hata wale Mbwa wanao zurura mitaani wasipigwe ila sio kutetea Watanzania.

Huwezi pigania watu wasio jitambua, Watanzania hatuajijitambua na hakuna uwezekano wa kujitambua hivi karibuni, hivyo hawa Wapianzani wanao watetea ni sawa na kupigia Mbuzi gitaaa tu.

Tunapaswa kuachwa tulivyo na wano tutetea wanapoteza nguvu na muda, sisi sio watu wa kupiganiwa kabisa.

MWIGULU ni HOPELESS kabisa kwenye nchi hii, hana maana, hana uzalendo wala huruma,

Tunamuachia Mungu.
 
In short Tanzania hakuna upinzani Bali wapo waganga njaa
We mjinga Upinzzni ni idelology, na zani kwa akili zako fupi unazani upinzani ni watu, mjinga weww China ni ya Chama kimoja ila kuna upinzani still, Kwa Waarabu kuna wapinzani na hakuna nata vyama kule, Ulienda kusomea ufala shuleni
 
tangu lini wapinzan wakatetea mazezeta, mashiga na mambumbumbu ya tanzania yasiyojielewa.
Upinzani ni Idelogy wewe mjinga, sasa Tanzania hio Idelogy ni kama wameachiwa watu wasio zidi 10
 
Nani amekuambia nchi hii kuna mwanasiasa (wa upinzani au wa chama tawala) anampigania mwananchi wa kawaida?

Tangu mwanzo Mbowe na wenzake wanasukumwa na maslahi yao na ya familia zao!
Kwani kwa akili zako unazania wanao paswa kupigania wananchi ni watu gani?Sudani ni raia ndo walianzisha vuguvugu na sio Upinzani, hata Ile Arabu Spring haikuanzishwa na yama vya upinzani bali raia, Sasa hii kwa huku haiwezekani hata baada ya miaka 500, yaani rai ni waoga na wajinga
 
Ni mjinga pekee haswa yule alieshikiwa akili na wanasiasa ndio anaweza kuamini kuwa Mbowe na wanasiasa wengine wanapigania masilahi ya watanzania. Ila kwa tunaojitambua tunafahamu fika kuwa hao wanasiasa uchwara uliowataja hapa wote wanapigania matumbo yao na masilahi ya watoto zao. Ndio maana wakishaenda Ikulu kuhakikishiwa kuwa masilahi yao hayatoguswa, hugeuka bubu kuwatetea wengine.
SSH anapigania maslai ya wanyonge?
 
Back
Top Bottom