Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
Nasema hivi, ukimtoa Nyerere, Abeid Karume na Sokoine hakuna mwanasiasa mungine wa Tanzania anaepigania masilahi ya watanzania. It's clear kwamba wanasiasa wote wameingia kwenye siasa baada ya kugundua kuwa watanzania ni wepesi sana kutumiwa kwa ajili ya masilahi ya kisiasa. Na ndo kinachofanyika siku zote.SSH anapigania maslai ya wanyonge?