Nimekugusa mboni ya jicho,Ulitaka atetee nini? Wewe? Hata kama ningekuwa mimi siwezi tetea watu wasio jitambua kamwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Freeman Mbowe siyo mpinzani HALISI
Aturudishie hela zetu tulizomchangia GAIDI yule.mbowe hatetei majingajinga ya tanzania tena ayaache yapigike mpaka yachakae
Nimekugusa mboni ya jicho,
Pole
[emoji23][emoji23][emoji23]Si mnapumua nyie?Sasa hivi hata zile channel za free wanatoa sauti, ukiwauliza wanasema wanaboresha hivyo lipia ili iwe rahisi kukufanyia update.
Bora tu atetee hizo biashara zake zitamfaidisha kuliko kutetea watu waliolala kiasi hiki.Mbowe na yeye anatetea biashara zake na maslahi