Mbowe na Wapinzani wengine walikosea sana, Watanzania sio wakupiganiwa, ni kuwaacha kama walivyo

SSH anapigania maslai ya wanyonge?
Nasema hivi, ukimtoa Nyerere, Abeid Karume na Sokoine hakuna mwanasiasa mungine wa Tanzania anaepigania masilahi ya watanzania. It's clear kwamba wanasiasa wote wameingia kwenye siasa baada ya kugundua kuwa watanzania ni wepesi sana kutumiwa kwa ajili ya masilahi ya kisiasa. Na ndo kinachofanyika siku zote.
 
 
Changamoto ni pale Mbowe na wapinzani wengine shughuli Yao ya kuwaingizia pesa ni "kuwatetea watanzani"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuuu nimekukubali saaana Leo .kumtetea mtanzania ni kupoteza muda nguvu na akili mazuzu WENGI saaana
 
Huu ni uongo, Mr.Mbowe amekaa jela more than 200days, bila ya kuwa na wapendwa wake,biashara gani za kwake binafsi alikua anapigania?tukubali tuna mazuzu wengi nchi hii,pigana na usitegemee mtu akupiganie

Uzuzu ni kukubaliwa kutumiwa na wanasiasa (kwa namna yoyote ile) kwa maslahi ya wanasiasa. Watetezi wa kweli wa wananchi huwa hawahitaji kushika dola. Martin Luther King, Jr. na wapigania haki wenzake hawakuwahi kutafuta support ya wananchi ili washike dola kwa ajili ya kuendelea kuwapigania! After all, watawala hawana track record ya kupigania haki za wanaowatawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…