Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Jeremiah Mtobesya: Mshtakiwa Wa Kwanza (Khalfani Bwire), kwa shtaka Pili na la nne baada ya Kuwasiliana naye anategemea Kujitetea Chini ya Kiapo na Kuleta Mashahidi Watano pamoja na Yeye ni Wa sita.., Na Kwamba atatoa Vielelezo Vitano Katika Ushahidi Wake
 
CHADEMA is the most destroyed political institution in Tanzania political history. God gives his hardest battles to his strongest soldiers. We’re strong, they fear us, they won’t fight us in fair ground. Stay strong mzee Freeman Mbowe, they’ve destroyed U indeed. #MboweSioGaidi
 
 
Wakili John Mallya: Kwa niaba ya Mshtakiwa Wa 2 (Adamoo) Tumepokea Uamuzi Wa Mahakama, Na Makosa ya Kwanza, Pili na Nne na la Tano ambalo anashtakiwa Pekee yake, Anakusudia Kujitetea Mwenyewe Chini ya Kiapo na Kuleta Mashahidi 2 na Kuleta Vielelezo Vinne Katika Utetezi Wake.
 
Wakili Fredrick Kihwelo: Mheshimiwa Jaji Kwa niaba ya Mshtakiwa wa tatu (Ligw'enya)
Tumepokea Uamuzi wa Mahakama, Mshtakiwa atajitetea Mwenyewe Chini ya Kiapo atakuwa na Mashahidi Watano na Vielelezo Vitano,
 
Wakili Peter Kibatala: Mheshimiwa Jaji Mshtakiwa Wa Nne (Freeman Mbowe) atajitetea Chini ya Kiapo na ataleta Mashahidi 10 pamoja na Yeye Watakuwa 11 na Anategemea kutumia Vielelezo 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…